Mbanti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 944
- 1,730
Kama kweli ndoa yako unaipenda usithubutu kumla akiwa ndo kaja kwako!Wakuu hamjambo. Mungu YU MWEMA SANA.
Aisee mi nimeoa mdada wa Singida mrembo wa kinyaturu. Sasa kuna mdogo wake yupo huko kwao mi na dada yake tupo kanda ya ziwa sa huyo shem wangu tokea ameipata namba yangu amekuwa na mazoea sana ya kuchat na mimi tena ameshajua muda ninaokuwa nyumbani hawezi tuma ujumbe ila anavizia nipo kazini ndio anaanza kunichatisha.
Kuna siku nikamwambia kwa mafumbo nataka mbususu ukizingatia next week atakuja kututembelea nlipomgusia kwa mafumbo nataka uchi wake akajidai mkali kwamba yeye hafikirii hayo.
Pili niliwahi mdanganya nipo Singida mjini kikazi aisee alifurahi akasema anataka kuja tuonane nikamwambia sawa ila nikamuliza dada yake akijua itakuaje akasema si tupo wawili atajuaje sasa nikamjbu poa nikiwa free tamwambia aje but at last nlimwambia nimepata emergence nimeondoka aliumia sana.
Sasa tokea anichomolee kukubali kunipa mbususu niliamua kumchunia nikawa sijibu sms zake wala kupokea simu yake, akawa akiongea na dada yake analaumu mbona siku hizi sijibu sms zake dada mtu akiniuliza sijibu chochote.
Wiki ijayo atakuwa hapa kwangu sasa wakuu kwa machache hayo huyo shem wangu anatafunika au taula wa chuya?
Nipeni mbinu wakuu nijilie vyangu.
Ila kama usha amua kuivuruga ndoa yako mle[emoji3][emoji3][emoji3]