Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Mimi na wao bampa to bampa na hela zao wanazo jipendekeza kumpa manzi ili kuteka attention yake. Ndio hizi tunaunga mabando ya mwezi mzimaUsikubali kwanini waku overtake na wanajua huyo ni shemeji yao.[emoji35][emoji35]