Kimasihara:
Juzi jumapili kuna demu nilikuwa na promise nae, location ilikuwa Kigamboni ferry, nilikaa kazini kwangu mpaka mida ya saa kumi, sioni demu kunipigia simu nikaamua na mimi nimpotezee. Tumefunga ofisini ikabidi nitembee mdogo mdogo mpaka ferry(kutokea Kariakoo) nilipofika pale Utumishi kuna demu nikamuona yupo mbele yangu alikuwa amevaa jezi ya utopolo afu na mimi nilikuwa nimevaa jezi yangu ya Simba, nikajisemea kimoyomoyo 'huyu wangu' ile namkaribia tu mara demu kasimama akawa ananunua sambusa za nyama, nikaona hapa nishamkosa mana nimemuacha nyuma, mara ghafla akaniita 'mtani nisubiri' nikamsubiri akaniuliza kama nina N card nikamwambia ninayo basi akanambia anipe 200 ili nimvushe nikamwambia usijali twende. Tukapanda pantoni vizuri tu ila hatukukaa sehemu moja japo wote tulikaa juu kule(mv kigamboni). Wakati tunashuka tukawa pamoja tunapiga story akanambia anaenda PC mi nikamwambia naenda beach kupoteza mida then nirudi nyumbani nikamuomba no pale akanipa. Akaondoka zake na mimi nikasepa zangu, nimekaa zangu Chadibwa mpaka mida ya saa moja nikawa narudi ili nije kupandia gari stendi ferry mara akanipigia simu akanambia yeye kasharudi PC kwahyo ndo anaondoka nikamwambia basi nisubili ili nikuvushe na kadi yangu akasema poa, nikafika pale tukapiga story mbili tatu then nikaenda kuscan akavuka mi nikaondoka zangu, ila wakati naongea naongea nae niligundua katoka kuonja/kanywa kidogo. Wakati naondoka nikampigia simu nikamwambia kama vp rudi nikuongeze bia mbili akanambia yeye sio mlevi, nikamkazia nikamwambia njoo kweli akasema nimsubili, na alikuja kweli, nili yokuwa mjinga badala nimpeleke bar mi nikampeleka gest moja kwa moja[emoji23][emoji23][emoji23] demu akanitoa nishai ikabidi niwe mpole nikampeleka ile bar iliyokuwa karibu na stend nikamnunulia bia mbili na mimi nikanunua maji moja nikakata 5K fasta! Tumemaliza pale nikampeka kupunga upepo kidogo, nikamuomba romance akanipa, nilivyompiga denda tu nikaona mtoto kasisimka mwili mzima, nikamwambia twende gest akawa sitaki nataka nikaita boda tukapanda tukasepa, kufika gest nikapiga kimoja ila kiukweli kwwnye shoo nilipuyanga sana[emoji23][emoji23][emoji23] lakini nilitomba[emoji23] tukatoka tukaenda stand tukapanda gari za mbagala, kwenye gari demu kanilalia tu, ikabidi nikashuke nae mwisho then nimpandishe gari na mimi nirudi zangu. Tumefika Mbagala gari hauna, so ikabidi nimtafutie gest alale, nikamtafuta boda nikamwambia atupeleke gest nzuri. Tumefika gest nikapiga kimoja tena nataka kuondoka demu hataki nikambembeleza mpaka akakubali, nikasepa zangu kurudi nyumbani Kibada. Demu simjui hata jina mimi nilitumia 20K na sijamwachia hata mia yeye alinionesha kwwnye mkoba wake alikuwa na 80K. Ni masihara au sio masihara?