Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
rafiki wa kalibu ndo atakae kuharibia kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Deo KisanduWakuu...ma broo na ma sista...Kwanza poleni na majukumu ya Kila siku...
Kwa kuzingatia michango ya Wana jf member hapa...Kuna namna imenisaidia na kuweza kumla huyu demu siku ya Jana jumapili kwa maana ni siku pekee ya huyu mdada kuwa off kazini... Wazo kubwa nililolipata hapa jukwaani ni lile la kutenga bajeti ya kiasi Cha pesa ambacho Mimi nilitenga laki moja ...hii niliifanya ya kumhudumia shida zake ndogondogo kwa sababu nature yake ni kuomba vocha Sana na hela ya kula..bhasi kufika Jana huyu dada akajaa kwenye kumi na nane ...mwamba nikamaliza.
Sasa wakuu baada ya kumla niliaona si vibaya nikampa 50k Kama zawadi na kumjengea imani ili wakati mwingine arudi tena,Sasa wakuu hapo kumpa hio 50k nimekosea?swali hili naliuliza kwa maana sijajujua ninajenga au ninabomoa katika kumrekebisha tabia yake ya kuomba omba hela...
Lakini baada ya mizengwe ya wiki ya Kwanza kabisa Ile mpka nikalipia outing ya 74k,nilijifunza kutokana na michango ya Wana member humu Kuna vitabia nilimkemea na binti kweli aliviacha..vijitabia vyenyewe ni vilikuwa nipale anakuomba hela labda ten...halafu baada ya kutuma asemi asante au siku nzima anaponitafuta ni pale anapokuwa anauhitaji wa kula hayo machipsi yake na mavocha ...bhasi Mimi sikusita kumpigia na kumchana na kumuelimisha kuwa Mimi Kama mwanaume wako na kiongozi wako nataka aache hio tabia Mara moja na sipendezwi kabisa na tabia chafu hapo ikumbukwe ni bado hajaja ghetoni lakini aliweza kuobey hio Sheria na akawa ananipigia hata Kama Hana uhitaji...
Sasa wachangiaji nisiwachoshe Sana siku ya Jana nilivomalizana nae nikaona isiwe tatizo nikampeleka mpka mbezi...kufika mbezi ambako shoga yake yule wa mara ya Kwanza siku Ile alikuwa amekuja nae outing waliaahidiana nae wakutane hapo ili warudi kwa pamoja sababu wanakaa mtaa mmoja akawa amewahishwa na haraka zake...nikaona isiwe tatizo nikamwambia bhasi ntakupeleka mpka goba mpakani ili achukue bajaji aende kwao ..akasema sawa nikamrusha chap Ile tumefika tu ananiambia tena Sina hela ya kula,nikamuangalia nikasema kimoyomoyo huyu anamashetani Nini elfu hamsini nimempa na naul nilimpa 15k goba mpka kibamba ya kuja ameungaunga usafiri akabaki na chenchi ya kutosha tu kwa maana nililijua hilo alivokuwa anaenda kuoga baada ya show nilichukua simu yake nyuma ya kava ana elfu Saba. imebakia....nikajikausha sababu mi kiukweli nampenda nikatoa ten nikamwambia boda anirudishiie buku tano na kumpa 2k nyingine ya boda ili amfikishe kwao kwa maana mda huo alikuwa ameshanikwaza nikasepa nikapitia ngao pub nikapiga mboliko nikirudi home mda huo nahasira tu.
Kinachonichanganya nikiweka amri nzugu naona nidemu ambaye anazi tii kwa kiasi Sasa sielewi nimfanyaje Kuna muda Kama ana Mambo mengi unaweza kumtafuta asipokee simu lakini haachi kunitafuta hata Mara moja tangu nilivomchana.
Saivi naangalia game ya Totten na full ham nimemcheki na kumuelekeza nataka nimuweke ndani nimuowe kwa maana sote sisi ni waislamu na ni dhambi kuzini naona ananiambia mpka mwakani ni mpaka amalizie koz ya kompyuta ambayo aliiachaaga njiani, nimemwambia sawa ..tutaongea zaidi Ila nimtu ambae naona kapokea kwa wema na amenisihi nimjulishe nitakaporudi nyumbani kwa kuwa mi nipo baa na sijajua lengo ni Nini labda ajue Kama niko salama ...Yani Kuna mda anajali hadi nafurahi ila Kuna vijitabia vya kingese hadi simuelew..
Ila nampenda Sana na Jana kanilazimisha nitumie ndomu maana yuko danger mi nikamkazia kinomanoma pale ilikuwa vita akakubali nikamwambia atatumia p2 Kama anawasiwasi na mimba Ila mi hata asipotumia akipata mimba ndio vizuri tu kwa kuwa namuhitaji...
Sasa kaka na dada zangu embu nisaidieni wakuu...hapa kipi kifuatie hadi awe anaelewa kabisa na mwishowe awe ni mwanamke wa ndoto zangu?ni kwa namna gani atajinyenyekeza kwangu nakutambua Mimi ni mme wake?nitumie njia zipi? Ili atulie ma broo ...msaada unahitajika Ila hajaacha kuvaa yebo za kutuna na yebo za vitobovitobo hata alivokuja alivaa...
We falaa huyo kusah wa Geita au yupi? [emoji1787] Na Jay melo kudadadeki, hii gahwa kabisa imeipiku hata chai mr director
Uko mkoa ganiNtumie namba zake pm
Unataka visa vyangu, wait ntashusha hapa.Hujawahi leta kisa chako humu embu fanya chapu
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Shusha uwanyamazishe wabaya wako.Unataka visa vyangu, wait ntashusha hapa.
BonnyHvi Hawa dada zetu hawajawah kudondokewa na mshkaj wakapiga show maana naona ni sie tu
Tayari vishaumana huko utapata bacteria wataathiri huo mdomoWakuu iv ukizama chumvin af kumbe demu ana UTI sugu utapatw na nin
Kalambe uchi hako, Ila kaambie kasiseme sasa vnakuwaga vtamu hvyoOya mafisi kuna katoto ka 2005 tunafanyaje nakakwepa sana ila sasa naona too much baba ake tunafamiana vizur NB:sio mwanafunzi
Dah...sihukumu lkn pepo utaiskia tu bombaOyaa kutoa Tigo A ni mzoefu kabsa bila shida?
Mkuu hadi walemavu wa ngozi[emoji3] guilty yan nn mkuu, kwan wao hawana nyege
Mbona kama unamtaja rik boyKama ww ndo ulimzalisha demu mmoja hivi white wa huko Moshi na sasa umemzingua kaamua kwenda kwa dada yake Dar ujinga wako umekuponza naenda kumlamba mda huu hapa kawe tena kimasihala haswa
Asante Kwa ujinga wee jamaaa
UTI ya mdomoWakuu iv ukizama chumvin af kumbe demu ana UTI sugu utapatw na nin
FumuaOya mafisi kuna katoto ka 2005 tunafanyaje nakakwepa sana ila sasa naona too much baba ake tunafamiana vizur NB:sio mwanafunzi
Hahaha. Mzee unatafuta ugomvi wa kimikoa sasaHii sio kimasihara,
Iko hv kuna dada nimewai kuongea thru phone kwa miaka zaidi ya 2...