Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hapa nilipopanga Kuna jamaa ana mkwe mtu wa tabora , huyo demu ni asili ya waarabu kutoka tabora

Cha kwanza huyu jamaa ni deiwaka kwenye viwanda vya sabuni , ila amebahatika kuoa pisi Kali kutoka huko kwao tabora , mke anafanya biashara ndogondogo za home kama kuuza asikilimu kandolo mihogo nk ,

Sasa juzi kati nilikua home mida ya mchana , akaja akanisalimia kwa heshima na kuniomba nimsikilize,
Hio siku hapakua na watu wengi hili joto la dar wengi pia walikua ndani wanasikilizia feni zikitoa joto

Basi nikasogea pembeni kumsikiliza akawa ameniomba pesa ya rejesho sh 20000 , akaniambia amekopa ila hataki mumewe ajue kabisa ,
Mimi nikamwambia Haina shida endapo NAMI atanisaidia kitu ,

Nikawa nimekwambia jinsi ninavojisikia kwake , pia nikamwambia mimi sitomkopesha ila nitampa ,
Nikampanga twende lodge Fulani hapa dar

Kazi haikua kubwa kiufupi Hadi sasa najilia mke wa mtu kwa 20000 tu kwa wiki Nampa pesa ya rejesho

Aisee Hawa waarabu ni watamu aisee yaani najilia tu raha , kwa rejesho la 20000 tu Kila wiki
 
Back
Top Bottom