Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Usi hangaike, huyo binti yetu😆🤓
View attachment 2928068

ana stress pia za kuachiwa watoto na mumewe.
 
Team VAR tujuane hapa.

1. Juzi kati. Leo Ijumaa, juzi Jumatano.
Sasa juzi kati nilikua home mida ya mchana , akaja akanisalimia kwa heshima na kuniomba nimsikilize,
2. Kwa wiki. Which week?
Kazi haikua kubwa kiufupi Hadi sasa najilia mke wa mtu kwa 20000 tu kwa wiki Nampa pesa ya rejesho
 
Hapa nilipopanga Kuna jamaa ana mkwe mtu wa tabora , huyo demu ni asili ya waarabu kutoka tabora

Cha kwanza huyu jamaa ni deiwaka kwenye viwanda vya sabuni , ila amebahatika kuoa pisi Kali kutoka huko kwao tabora , mke anafanya biashara ndogondogo za home kama kuuza asikilimu kandolo mihogo nk ,

Sasa juzi kati nilikua home mida ya mchana , akaja akanisalimia kwa heshima na kuniomba nimsikilize,
Hio siku hapakua na watu wengi hili joto la dar wengi pia walikua ndani wanasikilizia feni zikitoa joto

Basi nikasogea pembeni kumsikiliza akawa ameniomba pesa ya rejesho sh 20000 , akaniambia amekopa ila hataki mumewe ajue kabisa ,
Mimi nikamwambia Haina shida endapo NAMI atanisaidia kitu ,

Nikawa nimekwambia jinsi ninavojisikia kwake , pia nikamwambia mimi sitomkopesha ila nitampa ,
Nikampanga twende lodge Fulani hapa dar

Aisee Hawa waarabu ni watamu aisee yaani najilia tu raha , kwa rejesho la 20000 tu Kila wiki
Tuna kizazi cha hovyo sana
 
Ila haya maswala ya watu kujiingiza kwenye marejesho bila kuwa na kipato Cha uhakika ndio matokeo yake haya,afu we jamaa chukulia kama uliteleza tu,usiendekeze tamaa alafu heshimu ndoa ya mwenzako
Hamna mtu hapa 🤓😆
Screenshot_20240308-132314_1.jpg
 
Hapa nilipopanga Kuna jamaa ana mkwe mtu wa tabora , huyo demu ni asili ya waarabu kutoka tabora

Cha kwanza huyu jamaa ni deiwaka kwenye viwanda vya sabuni , ila amebahatika kuoa pisi Kali kutoka huko kwao tabora , mke anafanya biashara ndogondogo za home kama kuuza asikilimu kandolo mihogo nk ,

Sasa juzi kati nilikua home mida ya mchana , akaja akanisalimia kwa heshima na kuniomba nimsikilize,
Hio siku hapakua na watu wengi hili joto la dar wengi pia walikua ndani wanasikilizia feni zikitoa joto

Basi nikasogea pembeni kumsikiliza akawa ameniomba pesa ya rejesho sh 20000 , akaniambia amekopa ila hataki mumewe ajue kabisa ,
Mimi nikamwambia Haina shida endapo NAMI atanisaidia kitu ,

Nikawa nimekwambia jinsi ninavojisikia kwake , pia nikamwambia mimi sitomkopesha ila nitampa ,
Nikampanga twende lodge Fulani hapa dar

Kazi haikua kubwa kiufupi Hadi sasa najilia mke wa mtu kwa 20000 tu kwa wiki Nampa pesa ya rejesho

Aisee Hawa waarabu ni watamu aisee yaani najilia tu raha , kwa rejesho la 20000 tu Kila wiki
Isijekuwa wee ndo unaliwa
 
Achana na huyo mwanamke,utakuja juta,ukiendelea naye,kama ni.kweli usemayo
 
Mke wa mtu ni sumu, ukiwa unatembea nae jitahid uwe na kilainishi maana ukikamatwa hautoachwa salama
 
Back
Top Bottom