Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
HahahahaAisee hii kitu bwana niliwahi kuiepuka nakumbuka miaka ya 2020 mkoani katika isue zangu za kibiashara.
Nilikutana na mtoto mmoja anakadiriwa under 25, huyu bidada nilimkuta kasimama muda mrefu katika duka langu mwisho wa siku nikaamua kumuliza "kulikoni mbona kama hauna uelekeo wowote" ndio akanijuza kuwa kuna lori ambalo alitarajia aondoke nalo dereva kapata dharura safari leo haiwezekani na hana sehemu ya kwenda hapa town ni mkeni katokea wilaya ya jirani wa mkoani nadhani mnanielewa baadh ya mikoa wilaya mpak wilaya ni kipengele sana.
Alivyoniambia inaondekan binti alikuwa anataka kwenda zenji bila nauli maalumu yan kupitia malori ya makaa ya mawe atimbe dar then aende zenji. Nikamuhuliza umetokea wap akasem katokea wilayani x so kule alipotokea ni mbali nikamwambia sio mbaya kwasbb njia ndio hii hii utafute sehem ulale then kesho asubh mpema aamke dogo akakubali lakini akasema nimsaidie kwa hilo.
Basi nikaamua kukaa nae dukani mpaka mida ya jioni tukaanza safri kurudi huku nikifanya harakati mtoto apate gest alale bahati nzur mitaa yetu gest zilikuwepo za kutosha, tukabahatika kupata chumba gest moja hiv dogo akaingia ndani nikamlipia chumba per night ilikuwa 20K. Baada ya hapo nikamwambia narudi maskani so Mungu akipenda tutaonana namba yake sikuchukua si unajua tena kuonana sometimes katika hiz mambo ni ngumu sisi wa mikoani tunaelewa. Mtoto akaniambia kam nitaweza nije baadae (ule usiku) na chips alafu kulala peke yake anaogopa hasije akachelewa pia mazingira ya pale ni mageni kwake nikamwambia "flsh bs ngoja nirudi home mengine nitafikiria" so harak hrak nikafika home pat maji ya kutosha mazoez kidogo then nikapitia kibanda cha chips mishikaki pepsi fulan hiv na vimachungwa nikavibeba safari kwa manz gesti.
Moja kwa moja nilipofika gesti nikaingia chumbani mlango aliacha wazi (alijua kijana nitatokea) wakati huo alikuwa akioga (chumba ni master)..... Baada ya kumaliza kuoga nikamuandalia mazaga msoc ale apumzike. Bidada akachukua chips akaanz kula huku tukiwa tunapiga stry.
Aisee katik moja na mbili story zake kuna moja iliniogopesha ikanikata stimu kabisa ya uzizi, akasem haya malori makubwa yanatoka mikoani kwenda daslama madereva walio wengi wanalazimisha ngono bila kujari afya zao mtoto akazifi kusema kun ukimwi😀...nikamuuliza uzoefu wa hizi safar kasem ana miaka 3(ashakuwa master). Nikamuhuliza tena zenji unaenda kufanya nn ,akasem anafnya kazi katika hoteli kubwa ya kitalii mjini zenji maboss na watalii wanamlia matee duh😀 (wanawake na pesa🙌🏾)
Baada ya hapo nikaona huyu demu noma nikazuga na simu nikamuaga nikachomoka maskani.
Hakukua na condom maeneo haya
Ulimwangusha shetani comrade