Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nilivyomla kimasihara na Dada Masai muuza mitumba na kuambikizwa Gono.

Mwezi huu wa nane nilikuwa na harakati zangu za maisha zilizonipeleka Mbeya kwa wiki 2. Nimekaa hotelin Mbeya kwa wiki hizo 2 nikiamka asubuhi na kwenda kwenye mihangaikohiuyo then jioni narudi hotelini.

Jumapili moja nimewahi kurudi saa 11, nikaingia kuoga na kupumzika kidogo. Kuna jamaa alikuwa na mwanamke chumba cha jirani so yule dada akawa anapiga kelele na kulia jamaa anavyompiga bomba. Mi nikawa nasikia na mizuka ikanipanda na ilikuwa ni zaidi ya wiki nitoke home kwa Mama Manka.

Akili ikaniruka nikasema leo ngoja nitafute kimasihara. Nikavaa nikatoka hotelini nikiwa nimechanganyikiwa nikasema lolote naliokota na kulila kimasihara. Nikaanza kutembea tembea barabarani nikijisemea yoyote nitakayekutana naye hata kama ni mbuzi au kuku nitaondoka naye nikamalizie huu mzuka.

Hahaaaaaaa, sikwenda mbali na hotel nilipofikia nikakutana na janamke Nene, jeusi, kubwa na refu. Nikalisimamisha na kuliuliza linapoenda. Nikaliomba namba za simu na nikaanza kurudi nalo linapoenda mitaa ya hotel nilipofikia. Nikawa nalisifia, nikaliomba lione nilipofikia. Likakubali na kuliingiza chumbani kwangu.

Lilipoingia likashusha kofia ya sweta alilovaa na kujifunika kichwani. Dah, limenyoa kiduku. Nikiliangalia mdomoni, lina bonge la Pengo. Mzuka ukawa unakata kidogo kidogo. Nikaanza kuliongelesha ili nione uelewa wake lisije likawa na lichizi nimeliokota. Likawa linaniambia lenyewe lina goli la kuuza mtumba soko moja hapo Mbeya na kiasiri ni limasai. Nikaliambia, sawa nenda kaoge huku nafsi yangu inanisuta na ule mzuka unazidi kupungua. Shetani wa ngono akanishawishi baada ya kutoka kuoga nilivyoona lile tako kubwa na jeusi kwenye taulo alilojifunga kuanzia kifuani.

Hahaaaa touch mbili tatu kama wasemavyo wana JF, nikavaa ndomu na kulipiga pipe. Kumbe wakati wa mchakato wa kushusa wazungu kwani sikukamia ni ugwadu tu ulinizidi ndomu ilipasuka nikashangaa ananiambia umenikojolea ndani. Kutoa naona ndomu ipo juu ya mashine.

Baada ya masaa 12 yaani asubuhi, jamaa akawa anauma kama kuna mdudu ananing'ata. Jamaa anachoma kweli kweli, jamaa anawaka moto kweli. Sikuhangaika kwenda kupima wala nini, nikanunua Azuma zangu nikatumia dozi ya siku 5.

Ila umalaya mbaya sana. Siwashauri mle kimasihara. Gono lipo, UKIMWI upo na magonjwa ya zinaa yapo.
Code nyepesi sana hii kwa sisi wapiga mishe hapa Mbeya Mjini. Hutu Masai ni single mama mmoja anauza soko la SIDO hapa Kabwe. 😀😃😄😁
 
Back
Top Bottom