Aliyebuni huu utaratibu wa mabasi kusafiri usiku amewarahisishia sana mabaharia kazi.
Kwa sababu magari mengi yana huduma ya AC siku hizi huwa kunakuwa baridi sana wakati mwingine hadi dereva au kondakta anaombwa apunguze ac. Sasa mwamba usikose kusafiri na shuka kama la kimasai yale mazuri sana.
Wiki iliyopita nimesafiri mkoa x. Safari inaanza saa 2 usiku kufika kesho yake asubuhi. Niliambulia siti ya dirishani, ile mistari ya karibia na mwisho nyuma. Nimefika namkuta mrembo kakalia siti yangu. Ile namwambia ni siti yangu akasema ya kwake hii ya pembeni ila kaniomba akae pale dirishani. Nikasema poa. Tukaanza safari. Hatukuwa na mazungumzo sana kwa kweli safari ilipoanza mm nikauchapa usingizi, kumbe na yeye akawa anasinzia ila baridi ikawa inampiga. Alibeba kimtandio kilaini sana haikufua dafu kwa baridi ya ac ya gari. Akawa anajiegesha kwangu na mm nikausoma mchezo mapema nikamfunika full na shuka la kimasai. Sikutaka maongezi naye sana, kila mmoja akauchapa usingizi wake kwa kiwango chake. Nilikuja kushtuka ni saa 7 usiku, kucheki yeye ameniegemea. nikajiachia kabisa anilalie kwenye mapaja yangu. Kwenye hii hatua mtu asiyejua anaweza kusema ni mtu na mkewe. Saa 8 tukapita sehemu gari ikaingia sehem za kuchimba dawa na kununua mahitaji. nikamwacha yeye kwenye gari. Nikajiongeza nikamnunulia chakula, bila hiyana akafurahia msosi. Nikajisemea moyoni ngoja yeye ale chakula changu na yeye ataliwa baadaye. Baada ya msosi ndo sasa story zikakolea. hapa na pale ndani ya shuka namshika mkono ananipa ushirikiano, namgusa nyonyo ananipa ushirikiano.
Sasa kumbe yeye anaenda kikazi na mm naenda kikazi. Kufika ikabidi tuchukue lodge moja tumekulana kwa siku 3 mfululizo, mtoto wa miaka 31. ni mke wa mtu tena ndoa changa. Jamaa akipiga simu mi natoka kabisa wanapigiana hadi video call chumba hakina dalili ya mtu mwingine, wanapeana mabusu kwenye video call. Wakimaliza kuagana sisi tunakiendeleza.