Malaika wa Waha
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 319
- 885
Achana na mimiAisee, umejisikia raha kunidharau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mimiAisee, umejisikia raha kunidharau?
Nitasimulia ya Arusha juzi😀
Hii tabia unasafiri unaenda kituoni wapiga debe wanakupigia unapata kampani na pesa kidogo ya kulegeza mafuta.
Natokea moshi nafika segera nikalamba zangu vichwa vitatu dar mida ya jioni viwili vinaenda moro. Basi ikanilazimu nipite ya mlandizi japo siipendi nikawashushe chalinze waendelee na safari. Baasi tano usiku ndio tunakatiza chalinze kuhamaki wanashuka madume tu kabakia yule dame ndio anaelekea daslam.
Alikua siti ya nyuma nikamwbia pita mbele.
Stori zikaanza mbona unasafiri usiku mtoto wa kike peke yako?
Akaniambia alikua na wenzake gari ilijaa akabakia yeye.
Tukaenda kufika maeneo ya ruvu nasinzia tu ata sijielewi.
Basi kufika mlandizi kiroho safi nikamrudishia nauli yake apande tu gari ingine mi safari ndio imeishia hapo natafuta gesti nilale nishachoka.
Nitaendelea...
Ukiitwa uniiteUkiandika niite 😆
Hapa wenye thread sidhani kama watakuelewa!!Hii tabia unasafiri unaenda kituoni wapiga debe wanakupigia unapata kampani na pesa kidogo ya kulegeza mafuta.
Natokea moshi nafika segera nikalamba zangu vichwa vitatu dar mida ya jioni viwili vinaenda moro. Basi ikanilazimu nipite ya mlandizi japo siipendi nikawashushe chalinze waendelee na safari. Baasi tano usiku ndio tunakatiza chalinze kuhamaki wanashuka madume tu kabakia yule dame ndio anaelekea daslam.
Alikua siti ya nyuma nikamwbia pita mbele.
Stori zikaanza mbona unasafiri usiku mtoto wa kike peke yako?
Akaniambia alikua na wenzake gari ilijaa akabakia yeye.
Tukaenda kufika maeneo ya ruvu nasinzia tu ata sijielewi.
Basi kufika mlandizi kiroho safi nikamrudishia nauli yake apande tu gari ingine mi safari ndio imeishia hapo natafuta gesti nilale nishachoka.
Nitaendelea...
Daah,,, mkuu kwenye huu uzi hakunaga hii ya "nitaendelea" we charaza tu gazeti 😁Hii tabia unasafiri unaenda kituoni wapiga debe wanakupigia unapata kampani na pesa kidogo ya kulegeza mafuta.
Natokea moshi nafika segera nikalamba zangu vichwa vitatu dar...
Miaka ya 90, dah nilikuwa nadhani maputo, nimepuliza sana hizi!! Najua kuna watu hawatoamini kuhusu hilo. Lakini ni bora tu niseme hatukukulia kwenye mazingira sawa.
Mbona hadi sahivi, watoto wanafumia mipira, ili iwe inadundaa km bolii.Miaka ya 90, dah nilikuwa nadhani maputo, nimepuliza sana hizi!! Najua kuna watu hawatoamini kuhusu hilo. Lakini ni bora tu niseme hatukukulia kwenye mazingira sawa.
Dah!! Ila miaka ya 90 ilikuwa adimu sana. Sahivi kila kona hadi kiduka kidogo kabisa unakuta zipo. Ila hapo kwa watoto kufumia mipira (Chandimu)Mbona hadi sahivi, watoto wanafumia mipira, ili iwe inadundaa km bolii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na wanapuliza mbele za wakubwa, na hawana wasi wasi.Dah!! Ila miaka ya 90 ilikuwa adimu sana. Sahivi kila kona hadi kiduka kidogo kabisa unakuta zipo. Ila hapo kwa watoto kufumia mipira (Chandimu)![]()