'First year warahisi sana.
Upo zako campus chuoni huna hili wala lile, mara unaona kadada karembo kanakusogelea bila aibu kanakusalimia; 'Mambooo, za wewe...' unakajibu; 'Poa.'
Kanaendelea; 'Jamani naomba uwe kaka yangu wa chuo mimi mgeni kabisa huku sijapazoea.'
Unashtuka, unakosa cha kumjibu. Unajiuliza mbona ghafla hivi? Amejuaje mimi sio first year? Unaamua umuulize na yeye; 'Umejuaje mimi ni continous?'
'Nimeona umevaa ID ya chuo, sisi first year bado hatujapata.' Unaona kama huyu anakuchora tu, unamuuliza; 'Kwani umekosa rafiki wa kike awe dada wa chuo?' Anakujibu 'Ninae, lakini nataka wa kiume pia, there's just a different vibe, nataka the full college experience' viingereza vingi.
Basi kimzaha mzaha mnaanza kufahamiana hapo, si unajua zile unaitwa nani, course gani, umetokea shule gani, hivyo.
Kakaomba namba muwe tunawasiliana, unakapatia.
Siku kadhaa zinapita, kanakuuliza unakaa wapi? Kenyewe kanakaa hostel, wewe ulishakaambia una kaa nje. Unajaribu kukaelekeza. Kanakuambia kanataka kukusindikiza kakapaone. Unakubali, unaenda nako.
Mnafika geto, kanaoashangaa shangaa, kanabaki kuuliza uliza maswali 'hii shingapi', 'umeipatia wapi' muda unaenda, unakaonea huruma, unawaza hata hivyo kula kirahisi rahisi hivyo haiwezekani....
Siku moja mpo chuo, kanakuambia ukape funguo kakalale geto, kamegombana na wenzake huko hostel hakataki kwenda. Unakapa. Baadae kidogo unarudi geto, unakakuta kamefanya usafi, kamepika. Unashangaa.
'Vipi tena mbona umepika?' unakauliza. 'Kwani ni vibaya jamani?' kanakujibu. 'Hamna, sikutegemea tu.' unaongezea. 'Yaani unanichukulia nina roho mbaya hivyo kweli, nikae tu hapa bila kusaidia chochote.' kanalalamika. 'Sijakuzoea hivyo' unakaambia.
'Hicho ni kidogo tu kulipia the kindness you've shown me these few weeks.' Unakajibu; 'Kawaida tu.' 'Mimi sio stranger tena kwako, usinitreat hivyo.' kanasema.
Hapo mmekaa kitandani, katoto kanakulegezea macho balaa, unaona hapa leo sichomoi unakauliza 'Sasa unataka nikutreat vipi?' Chap, hako kanakuwahi kanakubusu, unaona usiwe mshamba, unakala mate.
Unapeleka mikono kwenye sehemu muhimu, unamshika shika chini na kumtomasa matiti, mtoto anaanza kuguna taratibu. Unambusu busu shingoni kisha unamsukumia kitandani.
Haraka unaenda kufunga mlango na ufunguo, kisha unachukua zana ukamalize kazi.'
Alihadithia jamaa mmoja kijiweni kwetu. Mimi naona ni chai, vipi nyie wadau?