Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nakumbuka mwaka 2008 nilipokuwa kidato cha 6., mwl aliniita nyumbani kwake nikamtengenezee friji yake iliyokuwa imeharibika. Alinambia mchana lakn kutokana na kutingwa na masomo nilikwenda nyumbani kwake jion. Niligonga mlango kwa muda mrefu bila kufunguliwa mara nikasikia mtu akija kufungua. Alifungua mke wa mwl akiwa na amejifunga kanga moja ikionesha kwamba alikuwa kalala. Wakat anarudi mara akaikanyaga nguo kwa kidole kwa chn na ikadondoka akibakia mtu. Nilimkimbilia haraka ili nimfunge nguo lakn alijikuta akikaa kwenye sofa huku umbo lake la kuvutia likinichanganya akili. Aliniamuru nirudi mlangoni nifunge.....alinitupia tabasamu zito lililonifanya nipagawe. Nilimsogelea huku nikitaka kum-hug, akanipokea na kunikumbatia. Nikajarib bahati kwa kumbusu kitu ambacho kilimfanye asisimke huku akining'ang'ania. Nilitembeza mikono kiunoni kwake, hips, mgongoni, hatmaye nikatua garden. Alihema na kutoa miguno ambayo ilinitia hamasa na kujikuta vidole vyangu vikicheza na embe huku mnara wake nikiuchezea kwa ufundi. Nilizama na kidole changu huku mdogo ukiwa kifuani ukinyonya matunda yake, baada ya mautundu yangu kibao, nilijikuta niko ktkt ya mechi nzito kama ya ujerumani na Brazil. Alifurahi, akanipa 5000 nikatengeneza friji nikaenda bwenini!
Chai
 
Ilitakiwa amwambie ukweli kwamba akija kita “happen” ili yule ajue kabisa apangilie siku ambayo haikaribii period.

Sasa anamuacha mtu aje tu hajasem chochote. Wenzake kabla ya kutuma nauli huwa wanahakikisha mwanamke karidhia kutoa papuchi na akituma nauli tu hapo hapo sexting zinaanza utasikia “enhe babe niambie utanipa style gani😂😂😂” yaani mtoto mpaka anafika chupi imelowa.
Hapo mwisho hapo yaaani..!!!
 
Mkuu zini kwa amani hio ilikuwa mada nyingine kabisa mtu aliifungua huko kuuliza kama kufanya mapenzi ni dhambi. Sasa mods wakaileta huku kuwakumbusha kwamba wazinzi na waasherati hamtauona ufalme wa Mungu.

CC mamdogo Amehlo, dadaangu wa kufikia Bantu Lady, shemela mwenyewe Evelyn Salt, mamaaa wa JLK Madame B et el
 
Umenena vyema kabisa, Manyanza.
Sio rahisi kuelewa lakini hata darasani aliyesoma PCM na HKL, aliyesoma PCM alikuwa anakaza sana na aliyekuwa anasoma HKL msuli alikuwa anapiga yupo ndani ya Net. Lakini matokeo yake leo yanaonekana.

Na ndio kilichomo humu story za kimasihara inasaidia sana kupunguza mikazo lakini hazina permanent solution. Tofauti na kuingia kwenye jukwaa la Biashara na uchumi 😃😃😃
 
Madam Hannah kizazi cha sasa hakitaki kufikiria/kusoma/kukifunza mambo magumu yenye tija kwenye maisha.

Mtu yupo tayari kuweka bando na kutumia zaidi ya lisaa lizima kusoma kimasihara tu. Baada ya hapo Anachangamsha kiungo chake na anarudi tena kuwa empty kwenye akili yake.

Teknolojia imetuharibi sana Waafrika kwa kushindwa kuweka vipaumbele vya msingi katika kuitumia
What are even doing here at the first place..
 
Mimi ilitokea mwaka 2005/6 nikiwa njiani naenda songea kidato Cha sita! nilikutana na dada mmoja alikua na
katoto kadogo ivi Sasa njiani mm nikawa kama Mzazi mwenza tulipofika njombe bahati mbaya basi likaharibika nakumbuka enzi hizo basi maarufu Njia Ile Kwa watu wa kipato Cha kati ilikua Kilimanjaro truck. Sasa kufika njombe basi ikabidi tufanye mpango wa kulala maana hakukua na uwezekano wa kufaulishwa na kama unavyojua safari ya dsm hadi njombe obviously mda ulishaenda Sana. Sasa yule binti Kwa wakati ule alikua na umri kama 23+ akawa analalamika Hana hata Hela ya kununua chakula Kwa mtoto yeye alijipanga angefika songea mapema aende kwao ni maeneo ya njiani .

Sasa Kwa huruma ikabidi nimsaidie hela ya chakula tulilala kwene basi siku hiyo ,kesho yake tukaanza safari asubuhi mwendo wa sanne ivi tukaingia songea sa Saba mchana . Basi tukaagana pale akanielekeza kwao kumbuka kipindi hicho simu hazikua common mm nikamwachia address ya shule nikapanda kisumapai nikaenda zangu kigonsera sec.

Maisha yakaendelea Sana kama miezi miwili ivi nikapokea barua kama unavyojua mambo ya shule kama hujazoea kutumiwa barua siku ikiitwa Kila mtu anashangilia , basi Mzee nikapokea barua dah ni yule dada aliandika mambo kibao yanayohusu maisha yake kijijini na toka wakati ule alisema hakuweza kurudi tena dsm maana alifukuzwa na aliezaa nae. Alinishukuru Sana Kwa mambo machache niliyomsaidia pale njombe na kuahidi ipo siku atalipa wema sikumwelewa lkn nilikubali na ikawa ni kawaida kunitumia barua hadi 2007 nilipomaliza advance.

Siku natoka kigonsera ndo nimemaliza six nikaamua kumtembelea maana kwao sio mbali na songea mjini ni mwendo wa nusu sawa tu Kwa haice nakumbuka ilikua mwezi wa pili songea mvua zilikua zinanyesha balaaa. Nakumbuka nilikua najua jina lake na la baba yake pamoja na kaka yake ambaye Kwa wakati ule alikua amemaliza diploma ya ualimu matogoro. Nilipofika huo mtaa wao niliuliza mtu mmoja tuu nikaelekezwa hadi Kwa wazazi wake na Kwa kuwa alishanieleza aina ya familia Yao ilibidi nifanye kuwa nimemtembelea kaka yake si yeye kuepusha maswali na kumbuka Bado ndo kwanza katoka kuachwa kama miezi michache iliopita.

Aisee bro alinipokea Kwa heshima Sana nikakaribishwa nikatambulishwa ehee mara majirani nao wakaja wachache nikawa na waza kwanini yote haya yanafanywa nikahisi labda ndo ukarimubwa wangoni ila badoo sikuelewaelewa . Basi muda ukawa umeenda nikabidi nianze kuaga maana nishakata tiketi yakwenda dsm na Nina safari nyingine ya kwenda kijijini Moshi, nikaaga pale Kwa bahati mjomba wa Binti alikua na simu asee nakumbuka laini ilikua ni celtel nikaomba namba nikaaga nikapelekwa barabarani nikapanda haice mbele hadi town nikalala asubuhi nikaamua safari nikaingia dsm sakumi na moja jioni.

Nilipofika ubungo chakwanza nikapiga Ile namba kuwajulisha nimefika na kweli nikawasalimia pamoja na yule binti niawa napiga mara Kwa mara Kwa namba tofauti Hadi nilipopata simu yangu ya kwanza mwezi wa kumi mwaka huohuo nikiwa mwaka wa kwanza chuoni. Basi bwana yule dada maisha yakaendelea akawa analima huko kijijini wakiuza ananitumia kidogo na bahati bro nae akaajiriwa mwaka unaofata akawa mshkaji Hadi kipindi flani akanitembelea chuo kumbuka yeye tayari yupo kwene payroll nikawa napona mara chache chache.

Maisha yaliendelea ilipofika 2010 June nikamaliza chuo kumbuka toka Feb 2007 hatukuwahi onana ila salamu nyingi tulipeana na kwakua nilikua na simu tulikua tunaongea Sana that time sikupitia Tena Kwa mjomba maana hata yeye alikua tayari anasimu. Sasa nilipomaliza chuo nilitakiwa nirudi Moshi na kumbuka chuo ilikua dsm Sasa nikapima nikaona nikienda Moshi sitapata sababu Tena ya kwenda songea ikabidi nilazimishe sababu home kuwa vyetinvya advance vinatakiwa basi nikatumiwa Hela nikapanda gari Hadi songea mjini tukiwa tunawasiliana Hadi nikafika nikamkuta mjini ananisuburia wakati huo yule mwanae ana kama miaka mitano au sita ivi katoto ka kike na alikuja nacho Hadi hapo nilipowakuta.

Sasa baada ya stori na kukumbushana mambo ya zamani ikabidi nichukue chumba na yeye akaniahidi anarudi Hadi home then atakuja kesho yake wakati nitakapotoka mbinga kigonsera kufata cheti so Ile siku ya mwisho atakuja tuongeee zaidi .

Basi kesho yake nikaenda zangu shule nikachukua cheti nikarudi town nikamcheki akaja this time peke yake mm kama kijana nikaelewa Zawadi ya ushindi inakaribia nikawa mtulivu nisionekane mroho na mhuni tukaongea Sana nakumbuka kilichonishtua ni kimoja aliniambia anaomba yule mwanae awe mwanangu Yani niwe baba yake , sikumwelewa kabisa ukizingatia ndo kwanza namaliza chuo Sina kazi sijui pakwanzia ila yeye akasisitiza nikubali japo nilikua nikiachana nae hakuna nitakachofanya wakati huo mtoto ndo kana 5+ivi.

Usiku uliingia tukaenda nilipojichimbia tukafanya mechi rafiki asubuhi nikaaga huyooo nikajua sitaweza kwenda tena songea maana sitakua na kitakachonipeleka huko maana hata mikoa niliyojiandikisha ajira ilikua dsm Arusha na klm. Nikifika dsm salama tukawa tuanachati Sana Hadi nikwa nishafika Moshi baada ya siku kama nne ivi akaanza kumuomba aje afahamu huku kaskazin! mm nilikwepa maana Kwa aina ya familia yetu isingekua poa na mahali tunaishi ni kijijini hakuna hata guest Hadi mjini mjini ambapo mm kwenda ingekua pia taabu.

Alisisitiza Sana akahidi anakuja Kwa garama zake mm nitafte tu mazingira apafahamu kwetu . Kwakweli ilishindikana ikabidi nimpigie danadana hadi mwezi wa desemba nikawa nimeipata tempo mahali nikatoka kijijini hiyo ilikua 2010 nakaribia 2011 January nikapata ajira serikalini nikaamua maisha yangu Arusha nikamwita akaja nakumbuka alifika Arusha Kwa basi la shabibu songea Arusha via chalinze hapo ni miezi kama miezi Saba toka nitoke songea baada ya kumaliza chuo June 2010.

Basi sikuamini alikuja na mwanae lkn kipindi hicho alikua tofauti alikua mjamzito dadeki kumbe Ile June nilisababisha na alijua na alidhamiria ndio maana alitaka Sana kufahamu nyumbani kwetu. Kwakua nilikua na mshahara nilitarajia nitamwacha apumzike alafu nimpe nauli arudi lkn siku zilipozidi kwenda mwenzangu akawa ndio anakolea basi ikafika mahali ikabidi nikubali maana ujauzito ukawa kama unamlazimisha Sana awe karibu na mm Sasa sijui ni kweli au ndo alikua ana ni set I don't know.

Nikahudimia wote mama na mwanae ilipofika march 23 akajifungua mtoto mwingine wa kike hapo hakuna hata ndg mmoja anejua nikahudimia Hadi akawa sawa uzazi nikamlisha mwenyewe kumbuka Mila za kichagga alitakiwa alishwe na mama yangu lkn kwakua ilikua kama masihara sikuwashurikisha maisha yakaendelea ivyo hadi mei 17 nakumbuka dada yangu nilimpigia nikamweleza akalipokea akalipeleka yeye Kwa wazazi then wakaja ninapokaa wakamwona baadae mama nae akaja hapo inaingia June 2011 maisha yakaanza rasmi nakumbuka kaka yangu na mm tulibidi tusafiri Hadi songea nilipofika Kwa Binti wazee walikua wananikumbuka maana miaka kama mitano nilishawahi kwenda (kumbuka kipindi nilipomaliza advance) (Ile safari ya pili nilipomaliza chuo sikushuka kwao tulikutana town ) kaka akajitambulisha tukaweka jamvi tukakunaliana mahari tukatoa kiasi.

Tukarudi Arusha wote mm Binti na bro kuanzia hapo hadi leo tupo Arusha yule mtoto nilimnunulia chakula njombe ambae mama yake alifukuzwa akiwa nae dsm tukakutana safarini nikwa naenda mbinga kigonsera ana miaka 21 yupo AIA mwaka wa kwanza yule aliezaliwa march 2011 ana miaka 16 alimaliza mwaka Jana form Four na ametoka na div 1pts12 aliefata mwaka 2014 ndie yupo form alimaliza srd 7 mwaka Jana yupo form 1.

Naafurahia maisha mama yake alijiendeleza QT then PC badae six akajiendeleza diploma ya maendeleo ya jamii Mungu so athuman akapata ajira ya utendaji mwaka juzi 2023 akaripoti miezi sita baadae nikafanya michongo akarudi kata ya wilaya ya jirani anaenda asubuhi jioni anarudi. Ndio maisha yetu nina 39yrs yeye ana 41yrs maisha yanasonga kama injili. Kimasihara nikajipatia Mke nikajipatia binti mkubwa wakufikia na anatumia jina langu na wengine nikawazaa mwenyewe.
congratulation bro naimani huyo mwanamke anakuheshimu sana kwamaan naona ww ndio km umemfungulia njia,ila wanawake ni wajanja san😁
 
Back
Top Bottom