Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kuna wale watu walitoka jeshi wakaunga chuo, madem walikua wabovu kichizi. Wengi walikua weusi af na vile vipara na ile mentality ya jeshini ya dont care basi ilikua balaa tupu. Kufikia semester ya 2 washazoea boom na saluni wakaanza kupendeza. Tulikua tunawaita after boom.
Zile wiki za kwanza kwanza nimeenda cafe na wanangu tukamuona mmoja nasoma nae kozi moja amekaa anakula peke yake. Basi tukaenda ile meza tukakaa nae. Alikua mweusi af kavaa mzula, hapo najua katoka jeshi kaunga chuo huyu. Basi story story pale nkachukua namba. Tukamaliza kula tukasepa, yeye kaenda hostel zao sisi tukarudi kwetu.
Nkamtext tukaanza kuchat. Nkamuomba baada ya vipindi kesho yake twende mjini akakubali. Kesho yake vipindi vimeisha saa 12 jioni. By saa 1 kasoro tunasepa kwenda town. Nkampeleka sehemu ya kitimoto baadae nkampeleka kwenye kajoint ka matunda, hapo navuta muda ifike saa 3 coz mida hiyo usafiri wa kurudi chuo unakua mgumu sana.
Basi tumekaa hadi saa 3 na nusu, nkamuambia hapa usafiri wa kurudi hamna kama vipi tulale lodge tu. Mtoto hana neno kabisa, kweli nkatafuta lodge. Tumefika kagoma kuingia, kaniambia nkachukue chumba kwanza af ndo nije kumchukua, anaona soo kukaa na mimi pale mapokezi wakati nalipia chumba.
Nkachukua chumba af nkamfata, tumeoga, nmekula tunda bila kutumia nguvu mpaka night kali, asubuhi tumeliendeleza mpaka saa 4 wenye lodge yao wakatufuza.
Wakati tunatembea kwenda kituo cha daladala turudi chuo tukapishana na mwanangu mmoja, yeye anasoma chuo kingine, mji huo huo. Basi tukapena hi af yeye kaendelea na safari yake. Ikaingia text kwenye simu, kuifungu ni jamaa kantumia, kaandika 'we ms**nge huyo demu wako ni mbaya kichizi'. Naiangalia hyo text af namuangalia huyo demu naona noma kichizi. Tukafika stand nkamuambia atangulie mimi kuna ishu nafatilia. Alivofika chuo kantext amefika af akanishukuru kwa penzi tamu.
Nlimkwepa yule demu mpaka akapataga mshakaji mwingine pale pale class.
Alikujaga kuwa mzuri baadae
Eti alikujaga kuwa mzur baadae hii ni chai kama zingine tu
 
Unakuta unakazana kusugua, unapambana kama unaua nyoka halafu jitu limekutolea macho tu au linakatika bila kutoa sauti yoyote.

Hapa ndipo mnapozidiwa na vitoto vitundu vya 2000s.

Asanteni. Ni asubuhi sasa twendeni tukalijenge taifa.
 
Wanakuja
 
Swali je akilia machozi huwa yanatoka?
 
Back
Top Bottom