Mwaka 2009 nilisafiri kutoka Mwanza kwenda Bariadi, kipindi hicho kulikuwa na basi la kampuni ya AM coach, nilikaa sit moja na binti, tukawafahamiana haraka, yaani tulipofika Magu tukawa tumezoeana sana.
Tukafika Nasa basi likaharibika, tukatoka pale saa 6 uck, mi nilikuwa tayari nimefanya booking ya chumba gest moja inaitwa MS lodge, tulifika bariadi saa 10, akaogopa kwenda kwake na aliniambia mwezi uliokuwa unafuatia atafunga ndoa, basi tukalala chumba kimoja na nikaendesha ibada ya damu na nyama hadi kupambazuka...kufa kufaana jamani.
Alikuwa nesi pale somanda na sasa yuko Mvomero huwa tunawasiliana