tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Ngoja waje wadau, najua watakuwa wengi tu. Wazee wa one night stand.
Ni kweli mkuu, tupo wengi. Nakumbuka wakati nikiwa hostel kuna demu wa mwanachuo mmoja alikuja kumtembelea my wake. Wakati huo bado hakukuwa na simu za mikononi. Basi alipokuja akamkosa, demu alikuwa ametoka mbali kidogo na kiza ndio kilikuwa kinaingia. Basi nikamuita room kwangu tukabadilishana maneno mawili matatu, baada ya hapo mtoto akaingia king, nikaejoy usiku kucha. Yule jamaa yake aliporudi akaelezwa juu ya ufirauni wangu (kummegea demu wake). Jamaa akaamua kumdis, akaniachia mzigo nikawa naendelea kujimegea kama kawaida. Ilikuwa kama bahati kwa kuwa nilikuwa namuonea sana wivu kwa kutoka na toto lile zuri. Basi bahati ikawa imeniangukia kimazobe namna hiyo....nikaendelea kummiliki mtoto hadi nilipohitimu na kuondoka chuoni.