Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

ukute afande alivyokuweka nguvuni akaenda kulala kwako halafu asubuh ukampongeza na lififte
Kuna tukio moja lilitokea kituo cha polisi kesi ya wanandoa mume kampiga mke, mke kakimbilia polisi mume nae hakuchukua muda akamfuata nyuma. Kufika kituoni anaona mkewe anatoka chooni na afande, afande akatimua mbio.
 
Endelea mkuu๐Ÿ˜‚
 
Huu uzi haujaniacha bure, kwa hizi experience kwa hakika kuna vitu najifunza. Pole mkuu kwa uliyopitia.
 
My apologies to him, kumbe hakuwa amempiga mkewe, ila mkewe alikimbilia polisi labda baada ya kugombezwa on why hajawapikia watoto.

Mwanzo nilidhani amepelekwa polisi kwasababu kamkung'uta mkewe na ameenda kuwavimbia makanjo.
Ukipigwa na mmeo kituo cha kwanza ni polisi?.
Ili iweje sasa?.
Niliposema ili jambo ni la kuishia uani nilikuwa na maana pana sana.
 
Kuna tukio moja lilitokea kituo cha polisi kesi ya wanandoa mume kampiga mke, mke kakimbilia polisi mume nae hakuchukua muda akamfuata nyuma. Kufika kituoni anaona mkewe anatoka chooni na afande, afande akatimua mbio.
majamaa huwaga ni wakwale balaa kwa loose balls ni mashambuliaji hatari hahsh
 
We ulisikia wapi
 
Hivi dhamana ya pesa taslimu huwa inarudi punde mtuhumiwa akiaachiwa
 
Hivi dhamana ya pesa taslimu huwa inarudi punde mtuhumiwa akiaachiwa

Dhamana na pesa taslimu walikuchaji wapi polisi au mahakamani?
Hakuna dhamana ya fedha taslimu polisi, ni mdhamini, barua ya mtendaji/mwenyekiti wa mtaa au Kitongoji na kitambulisho cha Mdhamini kusaini fomu.

Mahakamani ndio huwa dhamana inakadiriwa na just in case Mtuhumiwa akitoroka ndio utalipa kama ni madai au kifungo.
 
Somehow the end is funny ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wewe tena cheupe cheupe๐Ÿ˜‚
Sawa cheupe, ulinifanya nikafanye ujasusi wangu maana nilihisi ni wewe umenshtukia. Ila kumbe badoo niko salama. ๐Ÿ˜
 
Na kweli tuna viherehere sana.
Ila tunawapenda hivyo hivyo tu. ๐Ÿ˜
Mimi hata uwe na kiherehere vipi, kama unajua kuniliwaza ile mida wala sina noma kabisa. Tatizo uwe na kiherehere halafu hujui lolote unasubiri maelekezo, utajua hujui.
 
Hata hao polisi waliokuweka ndani nao ni wajinga. Ingekuwa Ulaya ningeelewa, ila Bongo kitendo cha namna hii kinaweza kusababisha ndoa kuvunjika haraka sana.
Sahihi kabisa...tamaa ya afande kupata 50k ...ilivunja hii ndoa....haya mambo yanahitaji busara na hekima
 
Sasa ulinunua bastola ya nini? Na kama aihusiki na swala la kumtreat mkeo haikuwa na haja ya kutuambia umenunua hiko chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ