Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
- #381
Huwezi kusema hivi ikiwa wewe ni mwanaume usiyependa dharau za wanawake.Kwanini uliwekewa mtego na wewe ukajaa ,ungetumia akili kuuchenga mtego wake..
Kama aliniwekea mtego kwa kunidharau nilimuwasha na nilitengana naye.