Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

Kaka wanawake unawasoma tu au umewahi kuishi nao? Yaani serious atake pesa halafu wewe umpe maelezo? Oyaa!
 
Yaliishaje sasa
 
Mimi nilikwisha sema siku akiniweka ndani biashara huenda ikawa imeishia hapo, kama tumeshindwa kuelewana nyumbani hata huko haitawezekana.
 
Pumba tupu
 
Hayajakukuta wewe! Kuna wanawake ni pasua kichwa sana hata hao unawaona wako muda mrefu kwenye ndoa ni uvumilivu na kujifanya bwege ndiko kunakodumisha hizo ndoa la sivyo ndio hizo kesi unazosikia mara mtu kauliwa na mumewe mara talaka Kila kukicha.
 
Ndiyo maana ndiyo ipo kwa walio na akili.Kama mtu hana akili,atabubujikwa na machozi muda wote.
 
Kaka wanawake unawasoma tu au umewahi kuishi nao? Yaani serious atake pesa halafu wewe umpe maelezo? Oyaa!
Nimeishi naye miaka ishirini na mbili sasa.Wewe huwa unakuwa na hela siku zote?Tena zaidi ya milioni moja?Kushindwa kujieleza ni kujipangia kukwama muda wote.Na wengi mnajionesha humu hata kwa uandishi na mitazamo.Nani alikuambia kipigo ni suluhu ya pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…