Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
-
- #381
Huwezi kusema hivi ikiwa wewe ni mwanaume usiyependa dharau za wanawake.Kwanini uliwekewa mtego na wewe ukajaa ,ungetumia akili kuuchenga mtego wake..
Ukimnya ni jibu tosha kwa mwanamke pale anapokosea, siku nyingine jifunze kutokupigapiga hawa viumbe maana ipo siku atakufia na hautoamini kama kakufiaHuwezi kusema hivi ikiwa wewe ni mwanaume usiyependa dharau za wanawake.
Kama aliniwekea mtego kwa kunidharau nilimuwasha na nilitengana naye.
Najua wapi pa kupiga ili asinifie, kukaa kimya ni kuruhusu mwendelezo wa dharau zake kwangu.Ukimnya ni jibu tosha kwa mwanamke pale anapokosea, siku nyingine jifunze kutokupigapiga hawa viumbe maana ipo siku atakufia na hautoamini kama kakufia
Basi kwa style hii tupo na wewe mpaka umuue mkeoNajua wapi pa kupiga ili asinifie, kukaa kimya ni kuruhusu mwendelezo wa dharau zake kwangu.
Nitampa kipigo kila atakaponidharau.
Nakuunga mkono, Mwanamke akileta dharau au akikengeuka mtie kipigo kiasi ili kmlejesha kwenye mstariNajua wapi pa kupiga ili asinifie, kukaa kimya ni kuruhusu mwendelezo wa dharau zake kwangu.
Nitampa kipigo kila atakaponidharau.
Ha ha ha..dah..hivi anakuvutia nini yule na ile sura yake ngumu?Dawa ni kuoa polisi mwenye cheo.
Namnyemelea Suzan Kaganda, akijaaa naoa kabisa
Hayo ndiyo maneno 😂Nakuunga mkono, Mwanamke akileta dharau au akikengeuka mtie kipigo kiasi ili kmlejesha kwenye mstari
Kuua hapana mkuu 😂Basi kwa style hii tupo na wewe mpaka umuue mkeo