Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
umeongea point. kuna baadhi yao humu. naona wanakuwaga na chuki na wenzao. unaweza mquote akakujibu shit balaaMara nyingi chuki huambatana na WIVU.Sasa unapomchukia mtu ambae hata hujamuona ni dalili ya kupungukiwa na baadhi ya vitu vinavyokamilisha kichwa cha mwanadamu
umeongea point. kuna baadhi yao humu. naona wanakuwaga na chuki na wenzao. unaweza mquote akakujibu shit balaa
Hebu malizia hiyo ...ilaMambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
MmmmhMimi nawachukia watu saana humu. Mfano kuna mtu kacomment hapo juu nataka kutapika hapa.
Aptyuuu
Hautaki sasa. Kwanza wewe nakuchukia wewe...uje pm tuombane misamaha tuMmmmh
Sitakiiii ndio...Hautaki sasa. Kwanza wewe nakuchukia wewe...uje pm tuombane misamaha tu
Kuna mtu alishasema ukitaka kumpata mwanamke aliyefunga pm humu gombana naye kisha atakuja pm kuomba msamaha.. akishakuja unaanzia hapo hapo.Sitakiiii ndio...
Unaanzaje kumchukia mtu sasa, tena hata humjui kabisaa....
Pm sikujui we endelea kunichukia tuu.. Halafu weka like hapo kama unanichukia
HahahaKuna mtu alishasema ukitaka kumpata mwanamke aliyefunga pm humu gombana naye kisha atakuja pm kuomba msamaha.. akishakuja unaanzia hapo hapo.
Like nimekupa bwana shemeji. Nitakunyimaje wakati unataka ziwe nyingi uwe maarufu kama naniii
Haha wewe ushazeeka ulimi hauwezi kuongea ile ngeli .endelea kujishoiya na kichaga na kiswahili chako tu. Wacha nienjoy kimaasai changuHahaha
We Umeanza mambo ya ushemeji, kuna watu hawapendi ujue...
Hivi eeeh, we nichukie tu bwana..
Like yako kaichukue tuu najua unanikubali kirohoni....
Like hata zimzidi naniliu Siwezi kuwa maarufu, labda unipeleke kwa Rasi Simba.....