Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
espy na Kasie njooni huku mseme huwa mnamchukiaga nani![emoji125] [emoji125] [emoji125]............For me i have decided to stick with love since hate is too great a burden to bear!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeahChuki nyingi humu ndani ni kutokana na upande wa Mtu binafsi yaan either opposition or proposing a certain issue
like me. sasa unakuta mtu mlibisha katika thread nyingne. ukija mquote anauchunaSijawahi na sidhani kama itatokea.
Nachojua tunatofautiana tu mitazamo na shughuli yote huishia hapa. Hata mtu aniudhi kiasi gani, nabakia kujua kuwa hatujakubaliana mahali.
Baada ya hapo sina hata muda wa kumuwaza. Nikienda kwenye thread nyingine nikamuona kaandika hoja yenye mashiko, nampatia like ya nguvu as if sijakwaruzana naye.
Haijatokea na wala haitatokea.
unahisi anakuchukia au unamchukiaNgabu. Anapenda sana league na ujuaji. [emoji41]
kuna dada nilijibishana nae kwenye mada flani. . ila nilijibishana nae kwa vile nilikuwa mgeni. na nilikuwa sijawasoma watu wa hapa. I'm sorry sissteKwenye dunia ya Mola chuki ya nini????!
Kiukweli kuna watu wenye majibu mabaya mnoo, wanakera sana lakini ndivyo walivyo. Hatuwezi fanana wote...
Hakuna sababu ya kuchukiana, mie ukiniudhi wala sina muda wa kushindana huwa nauleft uzi tuu maana hamna namna ingine
kweliNi vigum sana kumchukia mtu usiyemjua kwa tofauti za kimitazamo
nani huyo.Mimi nawachukia watu saana humu. Mfano kuna mtu kacomment hapo juu nataka kutapika hapa.
Aptyuuu
We kama una chuki semaaJf kila mtu msafi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
ila kuna mtu nilikwazana nae. kuna siku ntamwomba msamaha. tulikoseana wote Lakini. ila Mimi sijisikiagi vizuri. na wala sijawahi kumchukia . nampendaHebu malizia hiyo ...ila
Jifunze kupuuzia utakuwa na amani sanaKuna wengine wanakera kama Troll
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We kama una chuki semaa
Wewe haponani huyo.
Toa la moyoni bhana, Unaenda wapi labda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Shemeji nikikuchukia wewe basi dunia imekwisha.Just "Be You".
Wanasemaga wa kwanza akikoment ndiyo basi wote wanaenda na mtiririko huo.
Ila shem najua wewe hutakaa unichukie.
KweliAta in real life ni ngu!u kumchukia mtu... Sasa ndo nije nimchukie mtu sijawai onana nae!!!
Yaani ukiiukulia JF kirahisi hamna mtu anaeweza kukukwaza mpaka umchukie
Wakupe like tu [emoji3][emoji3]Sitakiiii ndio...
Unaanzaje kumchukia mtu sasa, tena hata humjui kabisaa....
Pm sikujui we endelea kunichukia tuu.. Halafu weka like hapo kama unanichukia
Alafu nikishasema?We kama una chuki semaa