Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

espy na Kasie njooni huku mseme huwa mnamchukiaga nani![emoji125] [emoji125] [emoji125]............For me i have decided to stick with love since hate is too great a burden to bear!
 
Sijawahi na sidhani kama itatokea.

Nachojua tunatofautiana tu mitazamo na shughuli yote huishia hapa. Hata mtu aniudhi kiasi gani, nabakia kujua kuwa hatujakubaliana mahali.

Baada ya hapo sina hata muda wa kumuwaza. Nikienda kwenye thread nyingine nikamuona kaandika hoja yenye mashiko, nampatia like ya nguvu as if sijakwaruzana naye.

Haijatokea na wala haitatokea.
like me. sasa unakuta mtu mlibisha katika thread nyingne. ukija mquote anauchuna
 
Kwenye dunia ya Mola chuki ya nini????!

Kiukweli kuna watu wenye majibu mabaya mnoo, wanakera sana lakini ndivyo walivyo. Hatuwezi fanana wote...

Hakuna sababu ya kuchukiana, mie ukiniudhi wala sina muda wa kushindana huwa nauleft uzi tuu maana hamna namna ingine
kuna dada nilijibishana nae kwenye mada flani. . ila nilijibishana nae kwa vile nilikuwa mgeni. na nilikuwa sijawasoma watu wa hapa. I'm sorry sisste
 
Sijawahi na sijui kama itakuja kutokea,kwann nimchukie wakati simfahamu?

-Pia mbali na kuto mfahamu hii ni jamii kwa hiyo hatuwez kuwa sawa woote,lzm tupishane.

-Na ukikuta unamchukia mtu humu ichunguze akili yako vizur.unaweza hisi mzima kume ww mgonjwa siku nyingi sana
 
Sitakiiii ndio...
Unaanzaje kumchukia mtu sasa, tena hata humjui kabisaa....

Pm sikujui we endelea kunichukia tuu.. Halafu weka like hapo kama unanichukia
Wakupe like tu [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom