Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
- Thread starter
-
- #181
Unamaanisha
Mmh. A ndiyo nani na B ni nani! Funguka bwana kabla sijapiga fundo lingine la balimiA,B,Cc
Acha uchochezi#superwomen2Unamaanisha
Shemeji najua huwezi fanya hivyo maana hautaki niachike.Ha ha ha, akirudi tu ujue ndoa huna, maana nitamwambia analipa deni nililokupeleka kwa mganga umroge akupende.
Mie nilipona aiseeHahaha...
Nilimwonea huruma Inna na husna wengine nyie wakorofi mlistahili. Ila Inna na husna walikuwaje wapole
[emoji57] [emoji57]Wapo tena wengi sana
Shemeji najua huwezi fanya hivyo maana hautaki niachike.
Hatuna haraka tuwasibirie tu [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aiseeh.... unaundugu na mod neneMie nilipona aisee
Yeah, sisi ni mwili mmoja hivyo akilipa yeye hamna mbaya.Sasa unataka anilipeje kama siyo kutafutana ugomvi, msaada nimekupa wewe kulipa alipe mwingine!
Kwani walifanya nini hadi wakapigwa ban?Mie nilipona aisee
Yani tabia zao kama wamekuja na Lori La ndizi usiku ...kulivyo pambazuka wakajikuta mjini.........mfyuuuuuuuu zaoMmh. A ndiyo nani na B ni nani! Funguka bwana kabla sijapiga fundo lingine la balimi
Ahsante [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mimi kwa kweli kutoka moyoni najikuta nakupenda sana Emmyta.
Yeah, sisi ni mwili mmoja hivyo akilipa yeye hamna mbaya.
Kulikoni?[emoji57] [emoji57]
Hahahaha... kama ndiyo hao mwenyewe wananikera yaani hadi nahisi kutapika wacha nije pm tutapike wote akizidiwa mmoja mwingine akamchotee maji [emoji125] [emoji125]Yani tabia zao kama wamekuja na Lori La ndizi usiku ...kulivyo pambazuka wakajikuta mjini.........mfyuuuuuuuu zao