Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Mmh. A ndiyo nani na B ni nani! Funguka bwana kabla sijapiga fundo lingine la balimi
Yani tabia zao kama wamekuja na Lori La ndizi usiku ...kulivyo pambazuka wakajikuta mjini.........mfyuuuuuuuu zao
 
binafsi niliwahi kumchukia faizafoxy kwa sababu ya udini, ila kuna mambo mengine nikaona anamichango mizuri na nahisi ni mtu mwenye uelewa wa mambo mengi, automatically nikatokea kumpa like kwenye contents zake nyingi 🙂, vile vile yupo bora kwenye lugha
 
Back
Top Bottom