BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
unamchukiaje mtu humjui tena mm nisijue unanichukia nikijua nitakupendaje nitalike tu comments zako nitakuquote hata usipojibu
Mi nakupenda mpaka nakuchukia,..lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamchukiaje mtu humjui tena mm nisijue unanichukia nikijua nitakupendaje nitalike tu comments zako nitakuquote hata usipojibu
Hata sijui shangazi yangu.Wasafi ya vipi hiyo shangazi au ya kina diamond
Nakuonaa NakuonaWe kama una chuki semaa
Ahsante sana aunt, karibu sana. nimeshtuka nikajua ndo unanichukia hahaUsijali my. Msalimie mwanao Heaven Sent mwambie kesho nakuja kuwasalimia
hahahhNyie tulieni tu si hamchukii?
Sasa nakuambia hiviii...hakuna mtu mtamu kama FaizaFoxyHamna mtu nisiye mpenda humu kama Faiza Foxy
Hahaaa! Sijafikia huko aunt. Najikuta nawapenda tu.Ahsante sana aunt, karibu sana. nimeshtuka nikajua ndo unanichukia haha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahsante sana aunt, karibu sana. nimeshtuka nikajua ndo unanichukia haha
....Sema wivu waweza kuwa sababu ya kumchukia mtu but not always chuki husababishwa na wivu. Kuna watu wanawachukia omba omba kweli, tena wao wana uwezo mkubwa tuu.Mara nyingi chuki huambatana na WIVU.Sasa unapomchukia mtu ambae hata hujamuona ni dalili ya kupungukiwa na baadhi ya vitu vinavyokamilisha kichwa cha mwanadamu
Alafu shangazi ulifichwa wapi?hahahh
Nashukuru sana.
waombane salama misamaha naona imeshakukuta bamdogoIpo mamdogo
Hahahaa! Aunt ameshutuka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mara ghafla tag kwenye uzi wa chuki.
hahhhaaa tena hao wanaosema wenzao ndio wachafu hawafaiHata sijui shangazi yangu.
Tunakupenda pia mpendwa.Hahaaa! Sijafikia huko aunt. Najikuta nawapenda tu.
Sasa nakuambia hiviii...hakuna mtu mtamu kama FaizaFoxy