Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Mara nyingi chuki huambatana na WIVU.Sasa unapomchukia mtu ambae hata hujamuona ni dalili ya kupungukiwa na baadhi ya vitu vinavyokamilisha kichwa cha mwanadamu
....Sema wivu waweza kuwa sababu ya kumchukia mtu but not always chuki husababishwa na wivu. Kuna watu wanawachukia omba omba kweli, tena wao wana uwezo mkubwa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…