Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Kwa maana hiyo nyie wote mlio comment hapa hakuna hata mmoja anaemchukia huyu dada anejiita "cocochanel"?

Acheni unafiki nyie....!!

Hata hii thread nayo imeletwa kinafiki.
 
Polee sana
 
Asprin babu na wewe kumbe ni muumini eeh lol utakufa na mkono katikati
Hahahahah rafiki yangu wewe, acha zako.

Nikifa usiache kuja kunizika bhana....

BTW... mzee anaendeleaje?? Naamini Mungu atamuafu atarejea salama katika hali yake... Mungu yu mwema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…