Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Kwa maana hiyo nyie wote mlio comment hapa hakuna hata mmoja anaemchukia huyu dada anejiita "cocochanel"?

Acheni unafiki nyie....!!

Hata hii thread nayo imeletwa kinafiki.
 
Kwenye dunia ya Mola chuki ya nini????!

Kiukweli kuna watu wenye majibu mabaya mnoo, wanakera sana lakini ndivyo walivyo. Hatuwezi fanana wote...

Hakuna sababu ya kuchukiana, mie ukiniudhi wala sina muda wa kushindana huwa nauleft uzi tuu maana hamna namna ingine
Polee sana
 
Asprin babu na wewe kumbe ni muumini eeh lol utakufa na mkono katikati
Hahahahah rafiki yangu wewe, acha zako.

Nikifa usiache kuja kunizika bhana....

BTW... mzee anaendeleaje?? Naamini Mungu atamuafu atarejea salama katika hali yake... Mungu yu mwema sana.
 
Back
Top Bottom