Kuna mtu hapa jf naona kabisa chuki ya wazi waziii sasa sjui anaumia nn?Mambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Tenaa wapooo yan wanakeraa sana tena sana full kukufata fataaa sjui wanafaidika na nn hata sielewiii?umeongea point. kuna baadhi yao humu. naona wanakuwaga na chuki na wenzao. unaweza mquote akakujibu shit balaa
Yan dada kuna mtu anakufataa kila unapopita ili mradi akupee shit tuKwenye dunia ya Mola chuki ya nini????!
Kiukweli kuna watu wenye majibu mabaya mnoo, wanakera sana lakini ndivyo walivyo. Hatuwezi fanana wote...
Hakuna sababu ya kuchukiana, mie ukiniudhi wala sina muda wa kushindana huwa nauleft uzi tuu maana hamna namna ingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nawachukia watu saana humu. Mfano kuna mtu kacomment hapo juu nataka kutapika hapa.
Aptyuuu
Fact yani basii tuSijawahi na siwezi ila nimewahi kuchukia baadhi ya kauli zao (nachukia kauli si mtoa kauli) iwe inanilenga Mimi au hata members wengine, kuna watu wanakauli chafu sana hawawezi eleze mawazo yao kwa ustaarabu
Exactly unamchukia mtu ili upatee nn ?Ukimchukia mtu humu ona una sababu za kuonana na wataalamu wa afya ya akili
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wanaochukia wajinga tu,maana kwa MTU anaejua Uhuru Wa mawazo hawezi chukia
Sent from my 4034X using JamiiForums mobile app
Upumbavu tu. Mtu humjui hakujui munamletea kiburi kweli jf. Ni kuwapuuza tuTenaa wapooo yan wanakeraa sana tena sana full kukufata fataaa sjui wanafaidika na nn hata sielewiii?
Mpe block tu tena ya nguvuKuna mtu hapa jf naona kabisa chuki ya wazi waziii sasa sjui anaumia nn?
Unaachana nae wala haikupunguziii kituKuna mtu hapa jf naona kabisa chuki ya wazi waziii sasa sjui anaumia nn?
Yan mm nashangaa mtu huna shobo nayee anakufata fata sjui huwa wanajisikiaje mtu unayemfata fata hana shobool na weweUpumbavu tu. Mtu humjui hakujui munamletea kiburi kweli jf. Ni kuwapuuza tu
Exactly ili waonekane wasafi kwa wale wanaowafata upepoooWengine wanachukia kisa mkumbo bendera fata upepo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimempa lakin anawafata watu wangu wa karibu anaanza kuwaatack kila ninapopitaa yupooooMpe block tu tena ya nguvu
Du. PoleNimempa lakin anawafata watu wangu wa karibu anaanza kuwaatack kila ninapopitaa yupoooo
Sio mimi lakini shem?Kuna kenge mmoja namuona tu anavyonichukia