Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Kwenye dunia ya Mola chuki ya nini????!

Kiukweli kuna watu wenye majibu mabaya mnoo, wanakera sana lakini ndivyo walivyo. Hatuwezi fanana wote...

Hakuna sababu ya kuchukiana, mie ukiniudhi wala sina muda wa kushindana huwa nauleft uzi tuu maana hamna namna ingine
Yan dada kuna mtu anakufataa kila unapopita ili mradi akupee shit tu

Sjui wanafaidika na nn?
 
Mimi nawachukia watu saana humu. Mfano kuna mtu kacomment hapo juu nataka kutapika hapa.



Aptyuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
One love Rastafarian huwa sichukii mtu ila ukileta uchoko nakuchokonoa
 
Sijawahi na siwezi ila nimewahi kuchukia baadhi ya kauli zao (nachukia kauli si mtoa kauli) iwe inanilenga Mimi au hata members wengine, kuna watu wanakauli chafu sana hawawezi eleze mawazo yao kwa ustaarabu
Fact yani basii tu
 
Upumbavu tu. Mtu humjui hakujui munamletea kiburi kweli jf. Ni kuwapuuza tu
Yan mm nashangaa mtu huna shobo nayee anakufata fata sjui huwa wanajisikiaje mtu unayemfata fata hana shobool na wewe

Lazima apate gonjwaa la moyo
 
Huwa napitia comment bila kusoma majina labda iwe ya kuchekesha sana au kushangaza ndo narudi juu kuona ni nani, hapo kuchukia inakua ngumu sometimes natoa like bila hata kujua nimemlike nani
 
Back
Top Bottom