Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Binafsi sijawahi kumchukia mtu.Naamini katika kukubaliana kutokukubaliana.
 
umeongea point. kuna baadhi yao humu. naona wanakuwaga na chuki na wenzao. unaweza mquote akakujibu shit balaa
Ni akili za wale wanaokuja kwa kuamini wana JF wote wawe na mtazamo au mitazamo kama ya kwao tu.
 
Mara nyingi chuki huambatana na WIVU.Sasa unapomchukia mtu ambae hata hujamuona ni dalili ya kupungukiwa na baadhi ya vitu vinavyokamilisha kichwa cha mwanadamu
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Jambo jema pia kujiepusha na tofauti na quarrel zisizo na sababu.
 
Sio fair....
Kama vijana tuna safar ndefu sana.Mitandao ya kama hii ni sehemu moja nzuri sana kupata mambo mbali mbali ya kimaendeleo,kisiasa na hata kufurahisha.
Yote yatakwenda sambamba kama kutakuwa na umoja,mshikamamo na kuheshimiana pia.
Exposure
 
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi ulio wazi.
 
Kwangu ngum ila kuna id moja anajiita LIDAKU naichukia sijui bado yupo
 
Singo maza na malaya zote za jf nazichukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…