Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Mekumiss D...Wewe hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mekumiss D...Wewe hapo
SawaAsante sana, huyo wa mwiso nimemwelewa sana.
Jitahidi kutomchukua, may be atajifunza kutokana na uungwana wako.Ni kweli mm nimewahi mchukia kwasababu aliacha kuchangia hoja na baada yake akaanza kunitukana
There you're...!Kumchukia mtu mpaka ashinde shindano la kuweza kuichukiza akili yangu kwanza.
Shindano hilo si la kitoto maana linataka uwe na akili sana kuweza kunichukiza.
Ni akili za wale wanaokuja kwa kuamini wana JF wote wawe na mtazamo au mitazamo kama ya kwao tu.umeongea point. kuna baadhi yao humu. naona wanakuwaga na chuki na wenzao. unaweza mquote akakujibu shit balaa
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Mara nyingi chuki huambatana na WIVU.Sasa unapomchukia mtu ambae hata hujamuona ni dalili ya kupungukiwa na baadhi ya vitu vinavyokamilisha kichwa cha mwanadamu
Umeonaaaeeeee...!Nikisema nichukie watu humu ntakosa pa kutupia picha zangu
Bonny hajambo?Mmmmh
You're really matured.Ni vigum sana kumchukia mtu usiyemjua kwa tofauti za kimitazamo
[emoji23][emoji23][emoji23]siyo wewe shemuSio mimi lakini shem?
Jambo jema pia kujiepusha na tofauti na quarrel zisizo na sababu.Kwenye dunia ya Mola chuki ya nini????!
Kiukweli kuna watu wenye majibu mabaya mnoo, wanakera sana lakini ndivyo walivyo. Hatuwezi fanana wote...
Hakuna sababu ya kuchukiana, mie ukiniudhi wala sina muda wa kushindana huwa nauleft uzi tuu maana hamna namna ingine
ExposureSio fair....
Kama vijana tuna safar ndefu sana.Mitandao ya kama hii ni sehemu moja nzuri sana kupata mambo mbali mbali ya kimaendeleo,kisiasa na hata kufurahisha.
Yote yatakwenda sambamba kama kutakuwa na umoja,mshikamamo na kuheshimiana pia.
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi ulio wazi.Sijawahi na sidhani kama itatokea.
Nachojua tunatofautiana tu mitazamo na shughuli yote huishia hapa. Hata mtu aniudhi kiasi gani, nabakia kujua kuwa hatujakubaliana mahali.
Baada ya hapo sina hata muda wa kumuwaza. Nikienda kwenye thread nyingine nikamuona kaandika hoja yenye mashiko, nampatia like ya nguvu as if sijakwaruzana naye.
Haijatokea na wala haitatokea.
Miss you too ViiMekumiss D...
Niambie.There you're...!