mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kawaida.naamini hata mimi wapo wanaonichukia.ila wananivumilia.Pole
Usijali my. Msalimie mwanao Heaven Sent mwambie kesho nakuja kuwasalimiaNiko poa my.
Kwakweli, ngoja nikaifanyie kazi.
Ngoja nikae pembeni tuu, ila naona tulipishe bhana... Sitakiiii upate ngeu sa hiziKaa mbali likidondoka lisitudondokee wote... aheri nife ubakie wewe
[emoji16][emoji16]Siwezi upata mwaya..
Si unajua tenaaaa, Rasi Simba ni adui yangu....
[emoji41][emoji41][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu nimekutania tu, nilikuwa natafuta mahali pa kuchomekea hiyo ID yako.
Mrushaji mwenyewe mwoga katokomea. Ila kiukweli huwa mnakera [emoji3]Ngoja nikae pembeni tuu, ila naona tulipishe bhana... Sitakiiii upate ngeu sa hizi
Unawapotezea tu.On the real siwezi kumchukia nisiyemjua.
Huo utakuwa ni umajinuni.
Sijui ukoje, sijawahi hata kuisikia sauti yako, sijui ulipo, yaani sikujui mwanzo mwisho sasa nitaanzaje kukuchukia?
Hata haiingii akilini kabisa.
Ila mimi nishawahi kuona humu watu wanaodai kuwa eti wananichukia ilhali hata hawanijui!
So go figure...
Shauri yako kama huna mwenzaHIV kumbe watu wameoana humu eeh?
Karibu sana mpendwa.Usijali my. Msalimie mwanao Heaven Sent mwambie kesho nakuja kuwasalimia
Sasa huo ni uchochezi bhana..Mimi ntatoa zawadi kwa mshindi
Shauri yako kama huna mwenza
Inabidi nitfuteShauri yako kama huna mwenza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa, kunilipa kwa msaada huo ni pale utakapoona imekusaidia.
Kwa katumie kwanza, utanilipa baadae shemeji.
Tusamehe bure ni ulimbukeni wetu [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mrushaji mwenyewe mwoga katokomea. Ila kiukweli huwa mnakera [emoji3]
Kweli wanaotuchukia Kimya kimya itabidi tu wawe wapenzi wavumilivu. Na jf hatuhamiKawaida.naamini hata mimi wapo wanaonichukia.ila wananivumilia.
Dawa yenu ban... kimbia tu ban inakufuata nyumaTusamehe bure ni ulimbukeni wetu [emoji125] [emoji125] [emoji125]