Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
aseeNgabu. Anapenda sana league na ujuaji. [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aseeNgabu. Anapenda sana league na ujuaji. [emoji41]
Niko poa my.Sijambo my. Ahsante kwa salamu.
Mzima weye? [emoji23] [emoji23]
[emoji38]Mimi nawachukia watu saana humu. Mfano kuna mtu kacomment hapo juu nataka kutapika hapa.
Aptyuuu
Siwezi upata mwaya..Haha. Waje tu wakupe umaarufu
Kaa mbali likidondoka lisitudondokee wote... aheri nife ubakie weweHiyo comment ni jiwe....
Inabidi namii niitumie hiyo ignore.Ukiangalia vizuri utakuta kabisa kuna ambao humo wanaweza kuwa wako ignored na Members zaidi ya hata 10, ila kuna watatu nimewaignore kwa sababu za kutetea mapenzi ya jinsia moja (ushoga), so ili nisikereke na posts zao inabidi tu nifanye hivyo.
Mimi kwa kweli kutoka moyoni najikuta nakupenda sana Emmyta.
[emoji6][emoji38]
HIV kumbe watu wameoana humu eeh?Hata sisi twajua unampenda wifi yetu
Je wajua nampendaje?Umerogwa wewe, unaanzaje kumpenda mke wa mtu?
Inabidi namii niitumie hiyo ignore.
PoleWapo ila sidhan kama ni sahihi kuwataja.nikiwaona tu wamepost kwenye uzi wowote.nasepa
Je wajua nampendaje?
Mimi ntatoa zawadi kwa mshindiHiyo comment ni jiwe....
Kwakweli, ngoja nikaifanyie kazi.Inarahisisha maisha, ni kama vile tu ukiwa mtaani kuna ile kauli inakuja kichwani mtu anapoanza kukukera, unajiambia achana naye endelea na issue zako.
Na kweli unaepusha kujiharibia siku.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi nitakuchukia tu leo usiponikubalia lile ombi langu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamani.Nakuchukia sana
Ulinichomesha mahindi kituo cha daladala pale nanihii.......