Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

On the real siwezi kumchukia nisiyemjua.

Huo utakuwa ni umajinuni.

Sijui ukoje, sijawahi hata kuisikia sauti yako, sijui ulipo, yaani sikujui mwanzo mwisho sasa nitaanzaje kukuchukia?

Hata haiingii akilini kabisa.

Ila mimi nishawahi kuona humu watu wanaodai kuwa eti wananichukia ilhali hata hawanijui!

So go figure...
 
Back
Top Bottom