Ulishawahi kumpenda Classmate wako?

Ulishawahi kumpenda Classmate wako?

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,888
Yani leo nimekosa furaha kabisa, nilikua natoka kwenye jengo moja la biashara hapa mjini, nikasikia mtu ananiita ulti.. Ulti... Dha! Kugeuka classmate wangu wa Secondary huyu mdada nilimpendaga kipindi kile tunasoma dha!, nilivyo maliza form 4 alinipotea mazima, mara ya mwisho ku chat nae ilikua kama 2016, ameniambia alikua Singapore, singapore anafanya kazi Bank moja hapa mjini kwa sasa.. Aise yani amekuja kipindi ambacho najiandaa kuingia kwenye ndoa yani nimekosa furaha kabisa ukweni nisha enda dha yani nikiwaza nakosa furaha.. Ameniambia alikua ananitafuta hakunipata. J2 kaniambia tukutane sina amani kabisa sijui huko mbeleni itakuaje.
Mpaka sasa najiuliza ni mm tu nilimpendaga Classmate wangu au ilishaga tokea kwenu pia'?
 
Ult ult ult ult ult .....hisia zako tu zina kusumbua[emoji23]kwan kakwambia ana kupenda
 
kwanini usimpende classmate ?

mbona vitu vingine hatupaswi kuuliza
 
Class mate niliyewahi kumpenda sasa hivi amechoka mpaka najiuliza kitu gani nilimpendea.... Then nikakumbuka kuwa alikuwa katika lile rika la kuvunja ungo, kila binti huonekana mrembo but akishafikisha miaka ishirini ndio sura na umbile lake halisi huonekana.
 
Nilimpenda kisichana kimoja cha kiarabu nilipo kuwa chekechea.pale baptist.ila sikumpata
 
Duh, umenikumbusha mbali kweli…………...mimi my first crush alikuwa classmate wangu. Enzi hizo form III, Shebby Robby Sec, basi jamaa akiingiatu class asubuhi si roho kudunda, duh duh, kweli mapenzi ya utotoni ni shideeer
 
asee nilikapendaga ka danga kamoja hivi kumbe kanatoka na maticha watatu wa shule tofauti, sikugive up nikaweka nia nikakatupia hakakuchomoa asa kenyewe hakajui kujivunga kanashow love live adi ticha akasanuka maana ilikua kila chocho tupo wote, ticha si akaanza vigisu vigisu ikawa kila nikienda shule narudi nmechakaa nkaona isiwe kesi nkamshauri mshua anihamishe shule sababu nkamwambia ile shule hawafundishi
 
Form four hapo Tarime Secondary nikapendana na mate huyo kumbe kuna ticha kamfukuzia tangu anaingia form one, kuja kusanuka mimi nakula mzigo nikatengenezewa msala nikasimamishwa shule mpaka mtihani wa mwisho.
 
Hawa watu ni wabaya mno unaweza kuta wanaume watatu wa darasani mnatembea nae, nishakutana na haya maswaibu kwa class mate wa Primary
 
Yani leo nimekosa furaha kabisa, nilikua natoka kwenye jengo moja la biashara hapa mjini, nikasikia mtu ananiita ulti.. Ulti... Dha! Kugeuka classmate wangu wa Secondary huyu mdada nilimpendaga kipindi kile tunasoma dha!, nilivyo maliza form 4 alinipotea mazima, mara ya mwisho ku chat nae ilikua kama 2016, ameniambia alikua Singapore, singapore anafanya kazi Bank moja hapa mjini kwa sasa.. Aise yani amekuja kipindi ambacho najiandaa kuingia kwenye ndoa yani nimekosa furaha kabisa ukweni nisha enda dha yani nikiwaza nakosa furaha.. Ameniambia alikua ananitafuta hakunipata. J2 kaniambia tukutane sina amani kabisa sijui huko mbeleni itakuaje.
Mpaka sasa najiuliza ni mm tu nilimpendaga Classmate wangu au ilishaga tokea kwenu pia'?
Hold your horses brother, uko kwenye hatari ya kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa!

Be wise!
 
Mtoto fet namzimia since first year mpaka mwaka wa 4 natongoza tu ,daa ama kweli mapenzi ni upofu
 
Back
Top Bottom