Ulishawahi kumpenda Classmate wako?

Ulishawahi kumpenda Classmate wako?

Hii nadhani imeshamtokea kila kidume rijali...

Especially zama za uoga zile shule ya msingi, unakuta kuna mdada msupuuu halafu kakuzidi madarasa halafu ukute ndio prefect fulani hivi...

Full kumzimia na mstarini unakaa mbele kabisa akiwa kiranja wa zamu, soksi pundamilia umeipandisha hadi inataka kupotelea mapajani...
 
Duh, umenikumbusha mbali kweli…………...mimi my first crush alikuwa classmate wangu. Enzi hizo form III, Shebby Robby Sec, basi jamaa akiingiatu class asubuhi si roho kudunda, duh duh, kweli mapenzi ya utotoni ni shideeer
Mwisho ukawaje?
 
nenda kakutane naye then kaoe ambaye roho yako inampenda.
 
Kuna msichana alinipenda sana while in form one mpaka nilikuwa naona kero, mpaka Wengine wakajua halafu nilivyokuwa slow and committed ktk masomo sasa....
 
Ninae mpaka sasa, sema hatuko close sana ila ananihamu na mimi namuhamu, na nshakula na nikitaka nakula.
 
Natarajia kumuoa classmate wangu.nilisoma naye primary tukaanza mapenzi ya utotoni mpaka hivi sasa twataraji kuona.
 
Back
Top Bottom