Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwezeshwa tunaweza..tumeshawezeshwa
Nyie si tumeshawapa mpaka NCHI sasa mnataka kuwezeshwa vipi tena? Hebu taja bana..!πTukiwezeshwa tunaweza..tumeshawezeshwa
Hili linawezekana kabisa nitamwambia yeye kama yeye siku malaika wa Bwana akishuka pande zote za dunia..lakini huku ndani JF..hapana aiseh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora umwambie tu ili uache kuugulia maumivu.
au ni mimi?Hii ipo sana kuna mkaka humu JF nampendaga sijui hata kama ni mwanaume kweli[emoji27]
Thubutuuuuu....we ulisikia wapiπNyie si tumeshawapa mpaka NCHI sasa mnataka kuwezeshwa vipi tena? Hebu taja bana..!π
Ulitarajia awe vipi best umekuja na I'd Mpya waogopa nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Mlete tumuone!!!Ngoja nimshike mkono nimlete hapaππ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama kushindwa kutaja ni upumbavu, basi na iwe hivyo[emoji23][emoji23][emoji23].
Japo anapita sana kwenye hizi nyuzi kwa namna yake, hivi hajapita kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshajileta.π€£π€£π€£hatari sana ChiefMlete tumuone!!!
Umeanza.ili uanze kukonekti dots eeππhatari sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umeshawahi kuchitchat naye mahali jukwaani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umeanza.ili uanze kukonekti dots ee[emoji1][emoji1]hatari sana
Macrush wetu ni spesho sana ingawa na wao wanawataja wengine.wivu kwa mbaaaaliii basi tu moyo usipate pumziko ππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa tufanyaje na hao macrush wenu mnawaficha kama ripoti ya sieijii
πππjamani wengine kupangilia mavazi hawawezikuna vile unataka mtu wako awe vip....kuna zile sifa flani, ....imagine mtu anakwambia anafanya kazi ofisi ya Rais afu siku ya tukio amevaa kama konda wa daladala[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu nimekumbuka ulisema uliona avatar yake inayumbayumba mahali humu nikakuuliza ameshacomment humu au bado? Hivi ulishanijibu?Macrush wetu ni spesho sana ingawa na wao wanawataja wengine.wivu kwa mbaaaaliii basi tu moyo usipate pumziko [emoji1][emoji1]
Niache basi Karmaππππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umeshawahi kuchitchat naye mahali jukwaani
Mwbie hanipati ng'o πππUmeanza.ili uanze kukonekti dots eeππhatari sana