Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Hivi Liza...nani sijui huko hajakutaja.na vipi Jack bila bila[emoji1][emoji1]hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio uone jinsi dunia inavyonitenda jamani.

Yaani hadi mchumba wangu hajanitaja[emoji1787]
Halafu yule ashanichoka,akatafuta mwanamke mwingine mbele yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri tu anniversary ipite kwa kweli angalau tuwe tumemaliza japo kamwaka kwenye uchumba[emoji1787].

Huyo Lizarazu mweeee ni kaka yangu wa damu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilimpenda yule kaka jamani nikiwa hata sijui anafananaje, nikiona ki-msg chake tu moyo wangu kwaatu naachia tabasamu mwanana, I'm thankful hata baada ya kufahamu sura yake halisi nashukuru sikujutia, We still good..!

yote mema..!!
Vipi ulimpea?!
 
Acha basi kukuangusha taifa mtakatifu...kaza we nae loh..

Yani umuachie mtu muchumba wako wa miaka mingi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒacha hizo funga kibwebwe hukooo..

Basi nilijua huyo huyo Liza...Ehee huyo huyo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Muite basi aje
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wapi huko mpendwa yule hata nadhubutu kumfungukia jukwaani.
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒmitaa ya kati huko mpendwa

Kwahiyo kumbe hatuchekani ee.

Ila tuache masihara,kumtaja mtu aliyeutikisa moyo kama vile visima vya fukushima ni kazi ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ