Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Hivi Liza...nani sijui huko hajakutaja.na vipi Jack bila bila[emoji1][emoji1]hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio uone jinsi dunia inavyonitenda jamani.

Yaani hadi mchumba wangu hajanitaja[emoji1787]
Halafu yule ashanichoka,akatafuta mwanamke mwingine mbele yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri tu anniversary ipite kwa kweli angalau tuwe tumemaliza japo kamwaka kwenye uchumba[emoji1787].

Huyo Lizarazu mweeee ni kaka yangu wa damu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha basi kukuangusha taifa mtakatifu...kaza we nae loh..

Yani umuachie mtu muchumba wako wa miaka mingi😃😃acha hizo funga kibwebwe hukooo..

Basi nilijua huyo huyo Liza...Ehee huyo huyo😃😃
 
Nilisema nimeiona avatar yake ikiyumba yumba lakini si kwenye huu uzi.

Huku bado hajaingia ila nilimuona sehemu fulani fulani hivi nikahisi harufu ya makopa kopa yanaanza kuota[emoji1][emoji1]hatari sana.

Akiingia humu nitafurahi sana [emoji3344][emoji3344][emoji3344]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Muite basi aje
 
Back
Top Bottom