Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hauniiti kwenye hiyo comment basi mi kichwa kitaanza kuniuma buree.comments za leo ni nyingi mno.fanya msaada tu
Woooooiiiiii...huwezi mjua haloo..nakuruhusu umtaje japo kwa kifupi[emoji16][emoji16]
Mleteee...(in Jotiβs voice)
Mleta kwakweli
Chakoriii anasema anamjua etiππ
Mtakatifu umeanza lini kona kona?yule nilishakwambia sio yeye jamani.niite kwenye hiyo comment aliyoiandika..usiseme kitu zaidi ya kuniita tafadhali..haya sasa unayonipa ni mateso bila chuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiisoma tu utajiona.
Ni yule crush wako niliyekupigia ramli[emoji16]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hata mimi namjua[emoji23]Chakoriii anasema anamjua eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtakatifu umeanza lini kona kona?yule nilishakwambia sio yeye jamani.niite kwenye hiyo comment aliyoiandika..usiseme kitu zaidi ya kuniita tafadhali..haya sasa unayonipa ni mateso bila chuki
Si yule wa kanda yetu kuleChakoriii anasema anamjua etiππ
Asante mtakatifu mama ramliHata mimi namjua[emoji23]
Niliona umemwita kwenye uzi fulani kwamba aje kuangalia unavyotiririka.
Ukamwambia huwezi kufa na tai shingoni..
Akakuuliza ni uzi gani?ukapotezea haukumjibu.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ok iko page ya ngapi..just do me a f... please[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile comment ipo peupe mno aiseee..kwanini hujaiona?wakati imekaribiana na comments zenu wewe na Eli79
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Asante mtakatifu mama ramli
Karma njoo umuonyeshe dada yako,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ok iko page ya ngapi..just do me a f... please
Expectations hurt ndugu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtakatifu Wewe si wa kunitia presha hii kama unanifanyia hivi na log out..huwezi nisumbua namna hiiKarma njoo umuonyeshe a nadada yako,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
πππ umemshikia bango dada wa watu.hufaiπ€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Sema macho yangu hayana pazia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38] umemshikia bango dada wa watu.hufai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karma fanya haraka mdogo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtakatifu Wewe si wa kunitia presha hii kama unanifanyia hivi na log out..huwezi nisumbua namna hii
Yani humu inabidi mtu kuwa makini..ukishangaa shangaa hukawii kukuta mwandiko wako umelowana maji ya motoSema macho yangu hayana pazia[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi vitu huwa nashtukia tu nimeviona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nimeichoka hii panda Shula ya kwenye Haya mabonde na milima ya miandiko.ngoja nilale kichwa chaniumaKarma fanya haraka mdogo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app