Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Enzi hizo tunaanza Chuo mwaka wa kwanza sasa likaunda Group la whatsapp aisee nikajiokotea manzi mojaa tukawa wapenzi kabisa yeye mwenyeji wa mwanza sema ubaya hakuja kureport chuo so tukaendelea kwa miezi kama Mi3 lakini ghafla sijui ilikuwaje hadi leo nishapoteza na namba yake au hata kama ipo nishasahau nilisev vipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Japo mapenzi yalinoga balaaaaa...
 
Mimi crush wangu anajijua

Ngoja nimwite aje atoe ushuhuda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mweee ni nani huyo jamani aliyeipoteza hiyo bahati?mtaje tumseme hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using JamiiForums mobile app
 
He he he.. Kumbe anajua? Basi tuishie hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…