Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Habari za wakati huu wakuu.

Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.

Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.

Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.

Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.

Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa. Na naomba usione soo mama njoo PM niambie nitakupokea kwa mikono miwili. Huwezi juwa huwenda mimi ndo fungu lako!

Au nasema uongo ndugu zangu?

Mapenzi upofu
 
Haha, bwana mimi nilikuwa natania tu kuchangamsha kijiwe. Niliyemzimikia nilishamwambiaga mda tu, akanipipa buyu la mwaka. So ndio hivyo unapenda usipopendwa.😪😪😪😪

Habari hizi wazipate wadau wa uzi huu; Karma, Chakorii, Saint Anne, Heaven Sent. etc
Hii danganya toto Eli..

Yani mdada kabisa mwenye akili timamu kakuchomolea!!hivyo hivyo ulivyo..haiwezekani.

Muite hapa aje ale makonzi kwanza astue ubongo
 
Mimi crush wangu anajijua

Ngoja nimwite aje atoe ushuhuda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mweee ni nani huyo jamani aliyeipoteza hito bahati?mtaje tumseme hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mama shughuli sasa 😂😂
 
Mama shughuli sasa [emoji23][emoji23]
Nimestuka sana kupata hizi habari za mwanamke mwenzetu aliyeipoteza bahati.

Wacha amtaje tumsimange kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anapotezaje vitu vizuri jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimestuka sana kupata hizi habari za mwanamke mwenzetu aliyeipoteza bahati.

Wacha amtaje tumsimange kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anapotezaje vitu vizuri jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli Hata mimi amenisikitisha mno.

Kumsimanga sitoweza ila nahisi nitamtoboa utosi 🤣🤣
 
Back
Top Bottom