Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Yupi tena jamani si tumekubaliana mnamjua tumefunga mjadala😂😂😂😂Msalimie Mtu chake
Yule ulisema ni mchumba wa mtu mwingine.so ulichomoa betiri..

Ohooo kipenzi changu jamani sijui kapotelea wapi.
Hakyamama tena ninammiss mno mno sijui ndo vile viswala vyake vimemficha🥺🥺

Mtu chake omba ruhusa uko ulipo japo kidogo niutie mwandiko wako machoni.kha!!
 
Back
Top Bottom