Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo blaza ndo umeamua unicheke si ndio.
[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo blaza ndo umeamua unicheke si ndio.
[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi wa kwangu saver ya JF inaweza kuzima.. Naomba uniache Shem[emoji23]
Hahahahahahahahahahahaa...duh....you made my day....Niliongeaga na mtu kwa simu ile sauti khaaaa nikahisi yani mtu mtu kweli, mwili mwili, fua fua baba....nlichokuja kukiona daaah ile sura hapana asee
Yani unampenda tu mtu sababu ya coment na picha!!!? Au mimi ndo bogus sijaelewa[emoji849][emoji849][emoji849]Habari za wakati huu wakuu.
Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.
Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.
Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.
Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.
Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa. Na naomba usione soo mama njoo PM niambie nitakupokea kwa mikono miwili. Huwezi juwa huwenda mimi ndo fungu lako!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kuna video nakutumia PM isikilize kwa makini sana, itakufundishaAisee macrush wangu wote wamewataja macrush wao wengine tofauti kabisaa,aargh namimi nimesusa sasa🤔🤭
Mfano Unaweza ukawa ni Trisha alafu usiwe cuteYani unampenda tu mtu sababu ya coment na picha!!!? Au mimi ndo bogus sijaelewa[emoji849][emoji849][emoji849]
Aah ungemtaja tu awe na alarm kichwani.Aisee macrush wangu wote wamewataja macrush wao wengine tofauti kabisaa,aargh namimi nimesusa sasa[emoji848][emoji2960]
Eve bwana hahhahaNiliongeaga na mtu kwa simu ile sauti khaaaa nikahisi yani mtu mtu kweli, mwili mwili, fua fua baba....nlichokuja kukiona daaah ile sura hapana asee
Twende nikutoe out weekend miss.Yani unampenda tu mtu sababu ya coment na picha!!!? Au mimi ndo bogus sijaelewa[emoji849][emoji849][emoji849]
Yaniiiii mmh yani lips zake zipo kama ile picha ya kigogo wa twita, bado sura aaah hapana aseee....aaah stimu zote kwao.Eve bwana hahhaha
Kwahiyo ikawaje sasa baada ya kumuona
Pole sana geraldmimi nilipendana na mwana jf mmoja....siku tulivyokutana physically tuliongea baada ya kuachana akaniblock....i know sikumvutia coz nina sura mbaya sana (Najijua) na wala simlaumu hata mimi ningekua yy lazima ningeblock......
Sio kupenda kwangu lakini[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hivi mjue mnanifurahisha sanaWe cheka tu.
Hafu nimeiona sehemu avatar yake ikiyumba yumba moyo ukafanya pah.na hajatajwa sehemu yoyote kwenye huu uzi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hatari sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Amecomment humu au hajapita kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaniiiii mmh yani lips zake zipo kama ile picha ya kigogo wa twita, bado sura aaah hapana aseee....aaah stimu zote kwao.
Afu sikuelewi siku hizi shunie
Dunia duara hata wewe huwezi mpendeza kila mtu kuna wengine wanakuona kituko kubali ukatae, so usishupalie sana kumkosoa jamaa mama.Yaniiiii mmh yani lips zake zipo kama ile picha ya kigogo wa twita, bado sura aaah hapana aseee....aaah stimu zote kwao.
Afu sikuelewi siku hizi shunie
Mi najibu thread, nawe jibu pia....Dunia duara hata wewe huwezi mpendeza kila mtu kuna wengine wanakuona kituko kubali ukatae, so usishupalie sana kumkosoa jamaa mama.
Umechukua jimbo lililoachwa wazi?🏃🏃🏃🏃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu niambie kipenzi changu nini hunielewi eti au uzee ndio umenizidia