Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Habari za wakati huu wakuu.

Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.

Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.

Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.

Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.

Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa. Na naomba usione soo mama njoo PM niambie nitakupokea kwa mikono miwili. Huwezi juwa huwenda mimi ndo fungu lako!

Au nasema uongo ndugu zangu?
Yani unampenda tu mtu sababu ya coment na picha!!!? Au mimi ndo bogus sijaelewa[emoji849][emoji849][emoji849]
 
mimi nilipendana na mwana jf mmoja....siku tulivyokutana physically tuliongea baada ya kuachana akaniblock....i know sikumvutia coz nina sura mbaya sana (Najijua) na wala simlaumu hata mimi ningekua yy lazima ningeblock......




Sio kupenda kwangu lakini[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Pole sana gerald
 
Yaniiiii mmh yani lips zake zipo kama ile picha ya kigogo wa twita, bado sura aaah hapana aseee....aaah stimu zote kwao.

Afu sikuelewi siku hizi shunie
Dunia duara hata wewe huwezi mpendeza kila mtu kuna wengine wanakuona kituko kubali ukatae, so usishupalie sana kumkosoa jamaa mama.
 
Back
Top Bottom