Ulishawahi kumuota member wa JF?

Ulishawahi kumuota member wa JF?

Ulishawahi kumuota Member wa JF kwa Namna yeyote ile na Hupendi Ajue?
Na Bado unatamani Asijue!
Me nimewaota mods baada ya kuniburn kwenye acaunt yangu ya maroroso jr
50571a8c1f00b72be4d3c45d04e214ac.jpg
 
Eehh tueleze wewe, maana hili swali hujaliokota mahali.
Nani huyo unaye muota?
Mimi Huwa nawaota member wenye avator za kike....Kama we we bbade,Evelyn salt,Sakayo,Mzigua 90,Love b,sijawahi kumuota Sky eclat kwakuwa najua wazi ana MTU wake Asprin!
 
Back
Top Bottom