Ulishawahi kumuota member wa JF?

Ulishawahi kumuota member wa JF?

Hahaaa. Ujue umenifanya nimecheka kwa sauti. Lol

Wapi nimesema lakini Kaka? [emoji12] [emoji12]
teheee yaani swali lako ulilo muuliza mwenzio ..linaonyesha kama vile wamshangaa mpka leo kutokuwa bado hajamuota mtu ..kitu ambacho wewe huwa kinakutokea Mara kwa Mara ..

yaani lile swali lako bwana lina majibu ya huu uzi kuhusu wewe ijapokuwa wafcha Dada yangu..hahaa
 
Hahaaa. Nimemuuliza vile kwa sababu ya mleta uzi maana mpaka kaleta uzi wake ni dhahiri kwamba yeye tayari.
 
Mi Nimekuota wewe Emmyta!
Ila hata sijui na Sikumbuki nilikuotaje
 
Hahaaa. Nimemuuliza vile kwa sababu ya mleta uzi maana mpaka kaleta uzi wake ni dhahiri kwamba yeye tayari.
aiseee unajua kuchakata maneno ..kwahiyo ulikuwa unamuwakilisha mleta uzi ..hahaaa
 
Back
Top Bottom