Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kabisaaaaa. Hahahaaaa.aiseee unajua kuchakata maneno ..kwahiyo ulikuwa unamuwakilisha mleta uzi ..hahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaaaa. Hahahaaaa.aiseee unajua kuchakata maneno ..kwahiyo ulikuwa unamuwakilisha mleta uzi ..hahaaa
salute boss hhaaahaKabisaaaaa. Hahahaaaa.
Hahhahaha sasa anao wangapi au mnashare na khantwe??me shem wangu tu huyo shogaa usipate tabuUje unielezee ulimuotaje baby wangu [emoji41]
Inna Umemuota Baby wa Neybrighty wakati wa kwako inasemekana ni Saint Ivuga!
Ukuje huku sitaki nikubebe....
Hahahaaa ila ww haya bhan najua ulichofurahiaSafi sana Nimekupongeza sana Ur matured now!
Inna Big up,I love ur comments!
Kwa avatar hii Mimi nitakuotaOohhh hizi Avatars zinaweza kukulaza macho sikuingine...
Binafsi sina kumbukumbu nzuri ya picha. ...labda ndio maana sioti.
Mwisho lini kuniota weyeMmh....
Naomba uniotee mema....Kwa avatar hii Mimi nitakuota
Nitakuotea mema mamaa, nshaanza maombiNaomba uniotee mema....
Nitakuotea mema mamaa, nshaanza maombiNaomba uniotee mema....
Mimi niliota nakula boga lakoNiliota nawapiga Pumbu akina Hornet na Evelyn Salt sitasahau aisee
Hivi zile ndoto za series sasa hivi zimefika season ya ngapi?[emoji6][emoji6][emoji6]
Hee makubwa!!!!Hahhahaha sasa anao wangapi au mnashare na khantwe??me shem wangu tu huyo shogaa usipate tabu