Labda Mshana Jr hahahahUlishawahi kumuota Member wa JF kwa Namna yeyote ile na Hupendi Ajue?
Na Bado unatamani Asijue!
Me nimewaota mods baada ya kuniburn kwenye acaunt yangu ya maroroso jrUlishawahi kumuota Member wa JF kwa Namna yeyote ile na Hupendi Ajue?
Na Bado unatamani Asijue!
Mimi Huwa nawaota member wenye avator za kike....Kama we we bbade,Evelyn salt,Sakayo,Mzigua 90,Love b,sijawahi kumuota Sky eclat kwakuwa najua wazi ana MTU wake Asprin!Eehh tueleze wewe, maana hili swali hujaliokota mahali.
Nani huyo unaye muota?
Oohhh hizi Avatars zinaweza kukulaza macho sikuingine...Mimi Huwa nawaota member wenye avator za kike....Kama we we bbade,Evelyn salt,Sakayo,Mzigua 90,Love b,sijawahi kumuota Sky eclat kwakuwa najua wazi ana MTU wake Asprin!
Au uliniota Mimi? Ilikuwaje vile? [emoji3] [emoji2]Mmh....
Mambo mwanamke mzuri.Oohhh hizi Avatars zinaweza kukulaza macho sikuingine...
Binafsi sina kumbukumbu nzuri ya picha. ...labda ndio maana sioti.
Hahahaha ngoja nipite !!... Hapa ndo kazi ilipo.Mmh....
Salama VP za kwako?Mambo mwanamke mzuri.
Zakwangu nzuri tu , kama ilivyokua kwako !!.Salama VP za kwako?
Sijambo VPZakwangu nzuri tu , kama ilivyokua kwako !!.
bbade anaendeleaje ?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda Mshana Jr hahahah
Fresh tu bbade !! Nilikumis tuSijambo VP